Kutoka Zitto Z. Kabwe hadi John M. Shibuda

Kutoka Zitto Z. Kabwe hadi John M. Shibuda

Zito belongs to the Alliance for Cowards and Traitor (ACT)
 
Iwe
kujitumia;kutumika au kutumiwa,wawili hawa wamekuwa 'lulu' kwa wapinzani
wa CHADEMA. Wawili hawa wamekuwa wakitumika kuchora picha ya kwamba
CHADEMA ina mgogoro na si chama cha kukiamini. Imekuwa ikichorwa picha
yao ya kwenda kinyume na chama chao,hasa maamuzi na misimamo ya chama
kwakuwa eti CHADEMA 'hakuna amani'. Propaganda zimekuwa zikijengwa juu
ya Zitto na Shibuda. Wengine ni wafuasi wa hawa
tu.

Sijui kwanini watunzi wa propaganda hizi hawabadiliki.Hawabadilishi
namna ya kuwatumia watu hawa. Watanzania wa sasa hawadanganyiki.
Wanaelewa vyema ukweli na uongo. Nani ashindwe kujua uongo suala la
Shibuda kuwa amehama CHADEMA huku akiendelea kujiita na kutajwa kama
Mbunge wa Maswa Magharibi na Mjumbe wa Bunge la Katiba? Ingewezekanaje
kisheria kuhama chama na kubaki kuwa Mbunge?

Hatahivyo, propaganda hizi ingawa ni chakavu, zinaiimarisha CHADEMA na
kuifanya idhibiti mianya ya kisaliti chamani.

Mbona mwalia sana kuhusu Zitto Kabwe?
 
Last edited by a moderator:
Nachelea kudadavua yumkini kuna ombwe katika hoja wacha niendelee kudurusu...ila ....
 
Zitto ni makapi tu. Hana lolote la kuthaminiwa; Ni msaliti mkubwa.
 
Pambana na siasa mkuu labda utatoka wewe ni MWANASHERIA KANJANJA tu.Mko wengi mliovamia hii kazi.
Eti Mwansheria wakati hujielewi poor you Mselewa.
Kujielewa ni kuwa mfuasi wa Zitto Kabwe?
 
Na wewe mbona umekubali kutumika?
Mkuu tueleze wasiotumika wanakuwa na msimamo upi? Au wanaunga mkono chama gani? Na kwa nini hao wawe hawatumiki?

Hivi ile haki ya kikatiba ya kufuata itikadi yoyote bado ipo katika katiba? Kwa nini anayefuata itikadi ya chama halali, ambacho hakijapoteza uhalali na kufutwa na Msajili awe anatumika? Udikteta wa kulazimisha watu wasiwe itikadi fulani umeanza lini?
 
Naona kuna watu wanakwepa Itikadi zao, kwanini, unaongea mwenyewe na kwa jinsi ya maelezo yako Werevu wameshakung'amua lakini unaogopa kujitanabaisha kwanini???
 
Back
Top Bottom