Kutoka Zitto Z. Kabwe hadi John M. Shibuda

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
10,346
Reaction score
26,143
Iwe kujitumia;kutumika au kutumiwa,wawili hawa wamekuwa 'lulu' kwa wapinzani wa CHADEMA. Wawili hawa wamekuwa wakitumika kuchora picha ya kwamba CHADEMA ina mgogoro na si chama cha kukiamini. Imekuwa ikichorwa picha yao ya kwenda kinyume na chama chao,hasa maamuzi na misimamo ya chama kwakuwa eti CHADEMA 'hakuna amani'. Propaganda zimekuwa zikijengwa juu ya Zitto na Shibuda. Wengine ni wafuasi wa hawa tu.

Sijui kwanini watunzi wa propaganda hizi hawabadiliki.Hawabadilishi namna ya kuwatumia watu hawa. Watanzania wa sasa hawadanganyiki. Wanaelewa vyema ukweli na uongo. Nani ashindwe kujua uongo suala la Shibuda kuwa amehama CHADEMA huku akiendelea kujiita na kutajwa kama Mbunge wa Maswa Magharibi na Mjumbe wa Bunge la Katiba? Ingewezekanaje kisheria kuhama chama na kubaki kuwa Mbunge?

Hatahivyo, propaganda hizi ingawa ni chakavu, zinaiimarisha CHADEMA na kuifanya idhibiti mianya ya kisaliti chamani.
 
Last edited by a moderator:

Na wewe mbona umekubali kutumika? mwanasheria mzima unaweza kuwa a simple argument kiasi hicho? Je, ni kweli kwamba CDM hakuna migogoro au labda tafsiri ya migogoro kwako ni nini? Kama hakuna migogoro mbona viongozi wanajiuzuru na wengine wanajiita wajumbe wa baraza wanahitisha vikao na waaandishi wa habari na kutamka wazi kuwa uongozi wa juu umeshindwa kazi?

ZZK ndio topic kwa CDM? mbona yeye haizungumzii CDM, kwa nini kila siku ZZK? kumfukuza mmeona hakutoshi bado unaendelea kumsakama, huko kama siyo kutumika ni nini? Wewe binafsi unafaidika na nini kwa kumshambulia ZZK kama hutumiki? Kama wewe ni msemaji wa CDM tujulishe!

Kama kweli wewe ni muungwana na siyo mnafiki na unajua kuwa watanzania wa sasa nao wanafikiri kwa nini husiseme ukweli kuwa CDM imepoteza mvuto badala ya kumsingizia ZZK? Mbowe alipochukua hela kwa Mkono ili asipige kampeni jimboni kwake alafu anajibu kuwa tatizo siyo kuchukua hela tatizo ni kwamba umezitumiaje ulitegemea nani aendelee kuiamini CDM?
Mbowe anapinga ufisadi wakati anabadilisha safari ya mbunge kwa kutumia hela ya serikali na kwenda nae Dubai kula bata huo si ufisadi? bado unatafuta mchawi kwa CDM kupoteza mvuto? Unafiki tu ndio unatawala huko CDM, mnajifanya malaika huku mmevaa ngozi ya kondoo!
 
Wewe ndiye mnafiki unayetumika,hakuna mgogoro cdm,wenye migogoro ni hao wachumia tumbo,na ndiyo maana wanajiengua wenyewe kutokana na njaa Zao, ngoja uone 2015,watakavyohangaika,wanadhani hizo wanazokula haziishi,zzk hawezi kuizungumzia cdm maana alishaumbuka kwa usaliti aliofanya.dhambi ina msumbua,
 
Unatafuta kick toka Kwa Zitto......wewe ndio unaitumikia njaa kuchafua majina yasiyochafuka Kwa hoja rahisi ili kuwaridhisha wadhamini.........
 
Na wewe mbona umekubali kutumika? mwanasheria mzima unaweza kuwa a simple argument kiasi hicho? Je, ni kweli kwamba CDM hakuna migogoro au labda tafsiri ya migogoro kwako ni nini? Kama hakuna migogoro mbona viongozi wanajiuzuru na wengine wanajiita wajumbe wa baraza wanahitisha vikao na waaandishi wa habari na kutamka wazi kuwa uongozi wa juu umeshindwa kazi?

ZZK ndio topic kwa CDM? mbona yeye haizungumzii CDM, kwa nini kila siku ZZK? kumfukuza mmeona hakutoshi bado unaendelea kumsakama, huko kama siyo kutumika ni nini? Wewe binafsi unafaidika na nini kwa kumshambulia ZZK kama hutumiki? Kama wewe ni msemaji wa CDM tujulishe!

Kama kweli wewe ni muungwana na siyo mnafiki na unajua kuwa watanzania wa sasa nao wanafikiri kwa nini husiseme ukweli kuwa CDM imepoteza mvuto badala ya kumsingizia ZZK? Mbowe alipochukua hela kwa Mkono ili asipige kampeni jimboni kwake alafu anajibu kuwa tatizo siyo kuchukua hela tatizo ni kwamba umezitumiaje ulitegemea nani aendelee kuiamini CDM?
Mbowe anapinga ufisadi wakati anabadilisha safari ya mbunge kwa kutumia hela ya serikali na kwenda nae Dubai kula bata huo si ufisadi? bado unatafuta mchawi kwa CDM kupoteza mvuto? Unafiki tu ndio unatawala huko CDM, mnajifanya malaika huku mmevaa ngozi ya kondoo!

Umetoka kapa. Soma tena mwana-Lumumba
 
Mkuu hapo hakuna Mwanasheria kuna mganga njaa anayetafuta kick ndani ya CDM
Huu jamaa amenifanya nifikiri tofauti juu ya wanasheria.
 
Mbona POVU linakutoka hivyo?haujui mfadhili wa migogoro ndani ya chadema ni ccm ikishirikiana na Zitto?....kukaa kimya kwa zzk haimaanishi ndio mwisho wa UFUKUNYUKU wake dhidi ya chadema na mamluki wake ndani ya chadema,ZZK tutamsakama mpaka masalia ya wakuda wake yaishe kabisa ndani ya chama.....na huu ndio mwisho wake kisiasa

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Mkuu hapo hakuna Mwanasheria kuna mganga njaa anayetafuta kick ndani ya CDM
Huu jamaa amenifanya nifikiri tofauti juu ya wanasheria.

Kwahiyo mimi CHADEMA? Ha ha ha ha
 
Iwe kujitumia;kutumika au kutumiwa,wawili hawa wamekuwa 'lulu' kwa wapinzani wa CHADEMA. Wawili hawa wamekuwa wakitumika kuchora picha ya kwamba CHADEMA ina mgogoro na si chama cha kukiamini. Imekuwa ikichorwa picha yao ya kwenda kinyume na chama chao,hasa maamuzi na misimamo ya chama kwakuwa eti CHADEMA 'hakuna amani'. Propaganda zimekuwa zikijengwa juu ya Zitto na Shibuda. Wengine ni wafuasi wa hawa tu.

Sijui kwanini watunzi wa propaganda hizi hawabadiliki.Hawabadilishi namna ya kuwatumia watu hawa. Watanzania wa sasa hawadanganyiki. Wanaelewa vyema ukweli na uongo. Nani ashindwe kujua uongo suala la Shibuda kuwa amehama CHADEMA huku akiendelea kujiita na kutajwa kama Mbunge wa Maswa Magharibi na Mjumbe wa Bunge la Katiba? Ingewezekanaje kisheria kuhama chama na kubaki kuwa Mbunge?

Hatahivyo, propaganda hizi ingawa ni chakavu, zinaiimarisha CHADEMA na kuifanya idhibiti mianya ya kisaliti chamani.
CCM na TISS hawana propagandist wenye sifa they are too easy to be predictable,halafu wanao watumia hawana soko kwenye uso wa watanzania wawili hao wanaitwa mitumba ya kisiasa, hawajaleta impact yeyote, wamesahau kwamba walishachorwa muda kwamba ni wasaliti na by far more than 85% wanajua ni mamuluki watumiwa kama matabara ya deki what is news kuandika na Uhuru na Jambo leo sijui habari leo magazeti ya CCM nani kwenye nchi hii anatambua hata uwepo wao kwa sasa wamepoteza platform za kisiasa ,wanatumiwa kwa fedha za kodi za wananchi
 
Mada zawatu makini lazima magamba a.k Interahamwe yatanuke.Nduguyangu Petro hongera kwa uchambuzi mzuri,nipo Kigoma nimefurahi Sana kuona team yangu yaukombozi ikinihakikishia kuwa kamwe hawatoyumbishwa nawasaliti huku wakishangaa uvumi eti Cdm haipo wakati ndio inazidi baada yakuondoa pumba mchele ukabaki bila hata mawe!
 
Mkuu hapo hakuna Mwanasheria kuna mganga njaa anayetafuta kick ndani ya CDM
Huu jamaa amenifanya nifikiri tofauti juu ya wanasheria.
wewe lazima umsujudu Zitto jinsi ulivyolia na kupenga makamasi Mbatia akubakize kwenye chama sasa unaota mapembe kwa chati na muko kwenye plot ya kumfrastrate machali wewe mwenyewe ukijisahau kwamba umekalia kuti kavu wanasiasa michwa kama wewe ni uchwara
 
Iwe kujitumia;kutumika au kutumiwa,wawili hawa wamekuwa 'lulu' kwa wapinzani wa CHADEMA. Wawili hawa wamekuwa wakitumika kuchora picha ya kwamba CHADEMA ina mgogoro na si chama cha kukiamini. Imekuwa ikichorwa picha yao ya kwenda kinyume na chama chao,hasa maamuzi na misimamo ya chama kwakuwa eti CHADEMA 'hakuna amani'. Propaganda zimekuwa zikijengwa juu ya Zitto na Shibuda. Wengine ni wafuasi wa hawa tu.

Sijui kwanini watunzi wa propaganda hizi hawabadiliki.Hawabadilishi namna ya kuwatumia watu hawa. Watanzania wa sasa hawadanganyiki. Wanaelewa vyema ukweli na uongo. Nani ashindwe kujua uongo suala la Shibuda kuwa amehama CHADEMA huku akiendelea kujiita na kutajwa kama Mbunge wa Maswa Magharibi na Mjumbe wa Bunge la Katiba? Ingewezekanaje kisheria kuhama chama na kubaki kuwa Mbunge?

Hatahivyo, propaganda hizi ingawa ni chakavu, zinaiimarisha CHADEMA na kuifanya idhibiti mianya ya kisaliti chamani.

Zitto mlishamfukuza lakini hakauki vinywani mwenu.
 
Last edited by a moderator:
Zitto mlishamfukuza lakini hakauki vinywani mwenu.

Ndugu uwe unaelewa,mimi si mwanachama wa chama chochote hapa Tanzania au kwingineko. Kwanini unanilazimisha kuwa CHADEMA? MSALANI,usiwe na kazi ya kuropoka tu.Uwe unafikiri angalau kidogo na kujenga hoja
 
Last edited by a moderator:
Mkuu hapo hakuna Mwanasheria kuna mganga njaa anayetafuta kick ndani ya CDM
Huu jamaa amenifanya nifikiri tofauti juu ya wanasheria.

Ukitiwa mbaroni ndiyo utajua umuhimu wa Wanasheria
 
wapo wanasheria lakini si vilaza kama wewe Sheria imekushinda kaka jipange, Elimu yako ya kuunga nani asiyekujua wewe kilaza wanasheria wote wanakufahamu mkuu unaishi kijanjanja.
Komaa labda utapa japo viti maalum.
 
Unaongea usichokijua.Kalale ukue
 
Pambana na siasa mkuu labda utatoka wewe ni MWANASHERIA KANJANJA tu.Mko wengi mliovamia hii kazi.
Eti Mwansheria wakati hujielewi poor you Mselewa.

Kafu....nakuheshimu sana. Pitia nyaraka zinazonihusu halafu urudi hapa
 
Hawezi akahama Chadema wakati njaa inamsumbua, Mbona hajarudisha kadi ya Chadema kama kweli anajivunia ubunge wa mahakama kuganga njaa.
 
Back
Top Bottom