Tumenyimwa penalt ya wazi
Naomba utupie msimamo wa ligi mkuuKila la heri Mnyama Mkali Mwituni...Leo ni mwendo wa Ngiri meno nje kwenda mbele...SimbaNguvuMoja
Ileeee kule kileleni, juu, juu mawinguniBaada ya michezo ya leo mpaka sasa Simba SC wapo mbele kileleni huku Namungo FC wakishika nafasi ya pili...NguvuMojaView attachment 1242247
Ileeee kule kileleni, juu, juu mawinguni
Goli LA offside, msimu tutashuhudia mabao ya ajabu sana, asante waamuzi49'Goooooooooooooooooooaaal gooooooaaal goooooaal...MK 14 Maddie Kagere anaipatia Simba SC bao la kwanza kwa kichwa baada ya kupata pasi safi kutoka wa Kahata.
Simba SC 1-0 Azam FC
Mwana kulitaka mwana kulipewa,
Hongera mnyama.
umuhimu wa var unaanzia hapaKuna kibendera muongo sana,kila shambulizi la azam ni off side, yaani clear chances tatu za azam kanyoosha.Soka la bongo raha sana
Haihitaji Var ni upuuzi tu wa wachacheumuhimu wa var unaanzia hapa
😳😳 Uwage unajiweka wazi mdogo wangu kwamba na wewe ni shabiki wa Mikia.Ileeee kule kileleni, juu, juu mawinguni
Hapana siezi toa zawadi yangu kizembe hivyo aiseeKwani kuna zawadi utampa mdogo wako?
😅😅😅😅 KabisaaaHata hivyo huoni kuwa atakuwa sehemu sahihi NguvuMoja..!