kutoka uwanja wa Mbowe karatu

Ni mwanzo mzuri sana wa kutuliza Minyukano inayoendelea ndani ya CHADEMA,na hasa ikizingatiwa kwamba Karatu ni moja ya maeneo ambayo tayari yalikuwa yameanza kuzusha minong'ono na kusababisha taharuki,hii ndiyo dawa nzuri kwamba linapotokea jambo viongozi wachukue hatua haraka.Hongera CHADEMA,hongera MBOWE!!!
 
Mkuu Tumbiri kumbe uko Masasi sasa hivi? Hebu tukitoka kwenye uzi huu tuambie lile timbwili la Gas asilia kati ya Kusini v/s Bagamoyo linazungumzwaje hapo Mkuti, Mkomaindo nk?

Mkuu Chakaza,
Nimetia timu Masasi jana usiku. Leo toka asubuhi nilikuwa napita pita kwenye vijiwe vya Vijana na kwenye mikusanyiko ya kina Mama na Wazee, nimegundua kwamba wana-Masasi wanamchoko mzito dhidi ya CCM. Nimeambia na wenyeji kwamba Majimbo ya Mtwara Mjini, Tandahimba na Masasi tayari ni ya Wapinzani.

TUMBIRI (Masasi, Mtwara - Tanzania),
tumbiri@jamiiforums.com
 
Last edited by a moderator:
Kila la heri makamanda, naona kamanda wa anga yuko mzigoni. Viva cdm. Msisahau kutujuza makamanda mliopo karatu .
 
Let picha basi mkuu, sa hiizi saa kumi na dakika saba, si ulisema watu wameshakuwa wengi leta picha baba.
 
mkuu tumbiri kumbe uko masasi sasa hivi? Hebu tukitoka kwenye uzi huu tuambie lile timbwili la gas asilia kati ya kusini v/s bagamoyo linazungumzwaje hapo mkuti,mkomaindo nk?
tupieni updates wakuu
 
fb wameshatupia picha ktk groups noooooooomaaaaaaa
 
VIVA makamanda wote na wanaharakati wote Karatu tunaomba muatachi picha ili wale wa rangi ya mainzi ya chooni waone
 

Hivi ni kweli kwamba kuturushia picha haiwezekani hadi ufuate Photoshop?. Maneno mengi ili hali vitendo zero, rusha picha ndipo tuchagie na kuamini uyasemayo.
 
Crashwise tuweke picha basi mkuu na sisi tulio mbali tufurahie na makamanda lol!
 
Hivi ni kweli kwamba kuturushia picha haiwezekani hadi ufuate Photoshop?. Maneno mengi ili hali vitendo zero, rusha picha ndipo tuchagie na kuamini uyasemayo.

huo ufundi wa fotoshop nenda rumumba uku kitu origino, tunaitaji uvumilivu cdm hatukulupuki
 
Makamanda kama mnaweza kuatachi tunaziomba bac ili tulioko tuone tukio halisi
 
Sikiliza Mkuu jaribu kujiheshimu,sioni kama uko sawa kwanza kwa kauli zako hizo,acha mdomo mchafu,humu ni jamvini eneo la wazi ambapo kila mmoja ana uhuru wa kuweka maoni yake,sio lazima usome maoni yangu na kuyajibu unaweza kusoma na kama yamekuudhi ukaacha lakini sio kuropoka kama unavyofanya,narudia acha mdomo mchafu na inavyoonekana unataka kuchakachua Thread,nadhani tumia akili zaidi za kichwani usiongozwe na hisia zako.
 
huo ufundi wa fotoshop nenda rumumba uku kitu origino, tunaitaji uvumilivu cdm hatukulupuki

Uvumilivu jinsi ya kuchukuwa picha au?. Hadi saa ngapi ? Tumia Digital au simu yako haina uwezo huo?. Nimevumilia naona kama wewe ni mmojawapo wa gamba uliyeamua kuanzisha uzi huu ili upate kusikia tunachangia nini.
 
Haya wakina tomaso someni/angalieni Thread...wakati mafisadi wakiwa wamekimbia mikutano yao wakati walituambia oooh leo kuna wabunge saba wana hamia ccm..hahahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…