Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,760
Ule mkutano mkubwa ulio kuwa unasubiliwa kwa hamu na watanzania hasa wana karatu unategemea kuanza mida ya saa kumi lakini mpaka sasa watu ni wengi sana kwenye uwanja wa Mbowe hapa karatu pamoja na mvua kuendelea kunyesha. Viongozi tunao watazamia hii leo ni viongozi mbalimbali wa mkoa na kitaifa Arusha katibu Amani, Menyekiti(Mwigamba), Nasari, Benson Kigaila na kamanda wa anga Freeman Mbowe..
Nitaendelea kuwa letea dondoo za mkutano huu pamoja na picha za baadhi ya matukio, mlioko hapa kwenye mkutano tushirikiane kuwa juza wana JF..
======
pics
Mbunge wa Arumeru mashariki kamanda Joshua Nasari
Mbunge wa viti maalumu Pareso
Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo Freeman Mbowe akihutubia wananchi wa karatu kwenye uwanja wa Mbowe
Kamanda Natse
Umati wa wananchi wilaya ya karatu waliojitokeza kisikiliza sera za chama cha Demkrasia na Maendeleo kwenye uwanja wa Mbowe
Pareso