Kwani raisi kupitia vymbo vyake vya usalama wa Taifa haya hayajui?
Lazima ujue kuwa duniani HULI CHOTE lazima ULE ULIWE!. Ili umfikie Tajiri huruhusiwi kwenda Direct kwake hata kama unaweza, Lazima upitie kwa Mtu X akupe Go ahead, Ukimruka X huenda Mali yako ikathaminishwa kuwa haina UBORA hata kama ina UBORA grade A!
Watu wameshagawana Dunia hii ndugu yangu, lazima ucheze kwa akili la SIVYO baki na midhahabu na Mialmasi yako uchezee bao!