Kutoka Mövenpick: Mdahalo wa Katiba - Lissu vs Mnyaa

Akijibu maswali kwa ufasaha na kumuelekeza jinsi muswada ulivyofanyiwa marekebisho mheshimiwa Habib Mnyaa alimuonya mh Tundu Lissu kuacha tabia yake ya kudharau serikali ya umoja wa kitaifa kwa kuwa ni maamuzi ya wanainchi wenyewe wa zanzibar, Mh Tundu akiendelea na propaganda zake za kila siku zilizo chuja za kusema CUF ni CCM B, ambapo aliulizwa je? ingekuwa mmepata 5% nanyi mngeingia kwenye serikali ya umoja wa kitaifa je? nanyi mngekuwa CCM C ? hakuweza kujibu.

Wewe Mkigoma huwa daima ni CCM naona leo umeamua kuja kumsemea mkeo....vp kakukatia sana viuno nn?
 
Akijibu maswali kwa ufasaha na kumuelekeza jinsi muswada ulivyofanyiwa marekebisho mheshimiwa Habib Mnyaa alimuonya mh Tundu Lissu kuacha tabia yake ya kudharau serikali ya umoja wa kitaifa kwa kuwa ni maamuzi ya wanainchi wenyewe wa zanzibar, Mh Tundu akiendelea na propaganda zake za kila siku zilizo chuja za kusema CUF ni CCM B, ambapo aliulizwa je? ingekuwa mmepata 5% nanyi mngeingia kwenye serikali ya umoja wa kitaifa je? nanyi mngekuwa CCM C ? hakuweza kujibu.
Tundu haitaji kujibu swali hilo kwa kuwa ni mwanasheria anayejua maswali kama hayo yanajibiwaje. Tanzania hatuna katiba inayoruhuhu kuundwa kwa serikali ya umoja wa kitaifa. Labda Mnyaa ajitahidi kupiga debe iwekwe kwenye katiba inayokuja.
 
Kwani ilikuwa ni mdahalo ambao una washindanisha Tindu Lissu na Mnyaa? Na mwishoni mshindi alitangazwa?

''FREEDOM OF SPEECH''
 
Hivi ukimwambia mtu kuwa huoni kwa sababu una matatizo ya macho ni kumtukana ?
Nawashangaa wazenji wanaponga'nga'nia kuwa TL anataka kuvunja muungano, kwa maoni yangu TL ni mkweli sana mpaka watu hawapendi.
Tumezoea siasa za kusifia uongo kwa ku win majority wasioelewa.
Na hili ni jambo hatari sana.
Cuf leo wamekuja kichama zaidi kuliko kihoja wali concentrate kwenye ushindi bila kujali hoja.
 
"ingekuwa mmepata 5% nanyi mngeingia kwenye serikali ya umoja wa kitaifa je? nanyi mngekuwa CCM C ? hakuweza kujibu."

Kama si kubwagwa huko ni nini?

Kumbe Zanzibar walikosa hata 5% ndiyo maana hawawapendi wa Zanzibari, nilikuwa sijui kisa.

Wazanzibar mnafurahia mnavyotawala Tanganyika kwa kutumia watanganyika kama makaburu wanavyoitawala Africa Kusini kutumia waafrika. Mnatumia msemo wa chako changu, changu changu. Sasa hatukubali.
 
Akijibu maswali kwa ufasaha na kumuelekeza jinsi muswada ulivyofanyiwa marekebisho mheshimiwa Habib Mnyaa alimuonya mh Tundu Lissu kuacha tabia yake ya kudharau serikali ya umoja wa kitaifa kwa kuwa ni maamuzi ya wanainchi wenyewe wa zanzibar, Mh Tundu akiendelea na propaganda zake za kila siku zilizo chuja za kusema CUF ni CCM B, ambapo aliulizwa je? ingekuwa mmepata 5% nanyi mngeingia kwenye serikali ya umoja wa kitaifa je? nanyi mngekuwa CCM C ? hakuweza kujibu.
Siasa za Tanzania ni za ushabiki wa Yanga na Simba bila kujali uhalisia wa mambo.
 
"ingekuwa mmepata 5% nanyi mngeingia kwenye serikali ya umoja wa kitaifa je? nanyi mngekuwa CCM C ? hakuweza kujibu."

Kama si kubwagwa huko ni nini?

Kumbe Zanzibar walikosa hata 5% ndiyo maana hawawapendi wa Zanzibari, nilikuwa sijui kisa.

lissu alipigaza pua na chembe hadi mnyaa akabaki ametoa macho kama anatunga uzi gizani mashabiki nao wakataharuki kuona bwana wao anatolewa nishai kwa uujumla mdahala ulikuwa mtamu sana mnyaa sio saiziya lissu lissu jembe
 
Kudoz Shiekh Mnyaa.. Chademu wamevuna walichopanda kwa kutuletea dharau watu wa Visiwani na sasa kila ntu anajua UHUNI wa hii NGO feki. Na natarajia ofisi ya Usajili wa Vyama vya Siasa ifanye ukaguzi kubaini kama kweli wanao wanachama kule visiwani kama mujibu wa sheria unavohitaji, la basi hakina budi kufutwa kama sheria yetu tulizokubaliana zituongoze zinavosema.

Dont be stupid, CDM hata ikipata kura 0 ZNZ, wanaweza kuchukua nchi. Umesahau kuwa kura zote za kule huku Jimbo moja. WE DONT NEED YOUR VOTES, YOU CAN STAY WITH THEM.
 
nyerere hakuheshimu maoni ya wengi wakati wa kuanzishwa kwa vyama vingi. Wananchi wengi walisema wanataka chama kimoja. Lakini nyerere yeye alisema hapana tuchukuwe maoni ya wachache, ndiyo maana kuna vyama vyingi leo. Angeng'ang'ania demokrasia siasa za tanzania zingekuwaje leo?

Sio katika kila jambo watu wengi ndio wako sahihi.
Asilimia 80 iliyokataa vyama vingi ndiyo hiyo hyo inayoipa CCM asilimia 80 ya bunge miaka ishirini baadaye.
Kukubali vyama vingi hakuna effect yoyote, ingekuwa watu wamesema ndiyo halafu ukasema hapana, hapo kungekuwa na effects.
Ngoja nikupe logical example,
Unataka nikupe huu mkufu wa dhahabu uuvae mguu wa kushoto?
Wewe utajibu hapana.
Mimi nitakupa tu huo mkufu, lakini hutovaa mguu wa kushoto, ila labda utauweka rehani ili ununue sufuria au mwiko....
Kwa hiyo uamuzi wangu wa kukupa huo mkufu haujaafect maamuzi yako ya kutouvaa mguu wa kushoto.
Sijui tumeelewana ami?
 
Mnyaa anasisitiza kuwa wamepigwa sana mabomu kwa kutetea katiba mpya, ndio maana wamekubali mchakato uendelee hivyo hivyo.Je hi yo ni sahihi,na wakati huohuo anakubali ccm waneongeza kinyemela mambo kadhaa ya muungano.Nini kinampa imani kuwa hawataongeza au kupunguza mambo kwa faida yao ?
 
Mimi ni kati ya watu wanaofurahishwa na misimamo ya Lisu kwenye mambo anayoyaamini. Lakini kauli zake dhidi ya zanzibar na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imekuwa ikinisikitishwa, amekuwa na kauli zinazokusudia kuvunja nchi. Ninavyofahamu mimi wananchi wa Tanzania kutoka pande zote za muungano hawana vikwazo vyovyote inayotokana na muungano kuwafanya waione kama kero. Kama watanzania wa kawada hawana tatizo na muungano, hiyo ajenda ya Lisu ya muungano na wazanzibari ameutoa wapi?kuna watu nyuma yake?kama ndivyo ni kina nani na hii ajenda ni kwa maslahi ya nani?

Napata wasiwasi

Na mimi napata wasiwasi! Hivi wewe umetumwa na nani hapa JF? Maana "mwanaJF wa kawaida" haupendi Muungano!
 
imekuwa nikiwasikia kila wanapoongelea muungano utawasikia sera yetu kuhusu muungano ni serikali 3, sera ndio hasa chanzo cha ugomvi kati ya nyerere na maalim sefu juu ya mfumo wa muungano na kupelekea yeye na wenzake watano kufukuzwa CCM, hii sera ya CUF tangu ilipoanzishwa 1992 na wanaendelea kupigania hadi leo, CCM sera ni serikali 2 kuelekea 1, juu ya mfumo wa muungano je chadema wameshindwa kubuni sera yao?
 
mijitu ya tanzania mara nyingi ni minafiki saana haipendi kuambiwa ukweli. ukisema ukweli wewe mchochezi muungano gani huu ambao sisi wa tanganyika hatuna haki znz! ushawahi ona mtu wa bara anakuwa waziri zenji? au rais? lkn wao wana haki huku tanganyika 100 percent. muuangano huu lzm uchambuliwe a to z ili kuleta usawa na amani full stop hakuna unafiki hapa
 
Back
Top Bottom