Kutoka mitandaoni 1

Kutoka mitandaoni 1

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
360,670
Reaction score
830,575
1428915191237.jpg
 
Hivi kabebeshwa tu apige nayo picha au ni mjeda kweli?
 
Huyo ndio FaizaFoxy hapo anaenda kupigania dini ya mtume

Mimi Nadhani Mtume Mudi Walimuelewa Vibaya.Kuna Haja Ya Kumuomba Arudi Ili Hayafafanue Haya Mambo Vizuri.Hii Sio Dini Hili Ni Deni.Mtume Anawajibika Kwa Haya!
 
Last edited by a moderator:
Siku zote mtu asie jua kusoma na kuandika, na wakati mwingine akisimuliwa huwa wanasahau waliyosimuliwa na kuongeza yao.
Nashukuru rafiki kutambua hilo la jamaa wanaesema ni Mtume, lakini amini kwamba hata wapagan walikuwa na miungu yao. Na mitume wao.
Ufikie hatua tuwapambanue kwa kutumia akili yetu tuliyepewa na Mungu japo kidogo tu
 
Mimi Nadhani Mtume Mudi Walimuelewa Vibaya.Kuna Haja Ya Kumuomba Arudi Ili Hayafafanue Haya Mambo Vizuri.Hii Sio Dini Hili Ni Deni.Mtume Anawajibika Kwa Haya!
tatizo wagalatia mnaaminishana upumbavu alafu mnasema ni uislam, hivi ni nani aliyewaroga?
 
mbona kuna picha ya mh temba kashika bunduki nae ni mwanajeshi?
 
Mimi Nadhani Mtume Mudi Walimuelewa Vibaya.Kuna Haja Ya Kumuomba Arudi Ili Hayafafanue Haya Mambo Vizuri.Hii Sio Dini Hili Ni Deni.Mtume Anawajibika Kwa Haya!

tatizo wagalatia mnaaminishana upumbavu alafu mnasema ni uislam, hivi ni nani aliyewaroga?

Je tunaweza kuwa na mjadala huru bila kuingiza kashfa, kejeli na matusi katika imani zetu hizi tulizoletewa toka ng'ambo?
 
Wewe Husio Ujua Uislamu Vizuri Ndio Unaamini Vitendo Vya Kigaidi Havifanywi Na Waislamu Kwasababu Uislamu Haufundishi Hivo

Lakini Wenye Dini Yao Wanaamini Kua Kuua/kujiua Kwa Ajili Ya Kuisimamisha Dini Ya Allah Ndio Uislamu Wenyewe Unavyotaka.Hata Maswahaba Wa Enzi Za Mtume Mudi Walifanya Hivyo.Na Ndomana Katika Uislamu Kuna Watu Wanaitwa Mujahidin Yaani Wapigania Dini.

Uislamu Ni Mojawapo Ya Dini Ya Maajabu Ambayo Inaamini Kuua Ni Njia Mojawapo Ya Kukupeleka Peponi.Na Mungu Wao(Allah)Anafurahi Akikuona Unaua Kwa Ajili Ya Dini Yake.Na Anakupandisha Daraja.
"Allah Is A Very Strange God!"
 
Mkuu Waislamu Ni Watu Wa Ajabu Sana.Kwa Mfano Dini Yao Inatamka Wazi Kabisa Kua "Mungu Wao Aliumba Majini Na Wanadamu Ili Wamuabudu".Na Wanaamini Kabisa Kua Kuna Majini Wema Na Wabaya

Lakini Leo Hii Wakimuona Muislamu Menzao Au Shekhe Anafuga Majini Ndani Watamwambia Ni Mshirikina.Au Mganga Wa Kienyeji Akipiga Ramli Kutumia Jini Watakwambia Hiyo Ni Shirki.Au Ukiwaambia Kua Wanasali Na Majini Misikitini Mwao Wataona Unawadhalilisha

Yani Waislamu Wengi Hawajui Wanaamini Nini.Ni Kama Mtu Anaetembea Kwenye Giza Nene Hajui Anakotoka Wala Anakoelekea."Sijui Hata Wamekula Maharagwe Ya Wapi Hawa"
 
Kiepe Yai waweza kuwa sahihi lakini kijijini nilikokulia mimi na ndugu za waislam tuliokuwa nao hawakua hivi, tuliishi kwa upendo na kuheshimiana mno kati ya wakristo na waislam na kwakweli tulikuwa na mipaka kwenye dini zetu

Ya waislam yalibaki kuwa ya waislam na ya wakristo yalibaki kuwa ya wakristo, na pale ilipotokea kuwa kuna haja ya kualikana na kushirikiana tulifanya hivyo bila shuruti wala unafiki na kwa uelewano hasa

Hii mambo ya kubaguana na kuitana makafiri, wagalatia, magaidi, kuua kwa jina la dini, ni vitu vipya kwetu na kwa hakika vina lengo maalum lakini baya kabisa kwa Tanzania ijayo
 
hivi mshana huko ulikoishi na waislam bila matatizo wakristo wa huko walikuwa na kashfa kama za wakristo wa jf?
 
nguvu JF kuna wapumbavu wengi sana kwa imani zote mbili wakristo na waislam
 
Last edited by a moderator:
je tunaweza kuwa na mjadala huru bila kuingiza kashfa, kejeli na matusi katika imani zetu hizi tulizoletewa toka ng'ambo?
kwani wewe ulipoweka picha ya namna hii ulitegemea nini?

Mada za kuukashifu uislam zimezidi hapa jf siku hizi, siku moja kwenu nyingi. Na hii ni moja wapo mshana.

Nafkiri umenielewa..
 
Ya Allah naomba unijaalie busara siku zote aamin.
Naipenda sana JF ila nahisi hatua zinabidi zichukuliwe kudhibiti watu fulani humu.

Wakati fulani nashawishika kuamini kuwa kuna umuhimu wa kutungwa kwa sharia mpya ya mitandao.

In shaa Allah tutaendelea kuwavumilia watanzania wenzetu.
 
Back
Top Bottom