Kutoka Mchikichini: Mudy physics, Side, Mtiga - Nani mkali?

Nilienda kwa mtiga siku nzima nilitoka patupu yan ckuambulia cchte....kesho yake nikasinzia kwenye mabench yale[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]kuanzia siku hio sikuwahi kusoma tution tena hadi namaliza alevel........hizo tution kazi kupanikishana tu
 
Ulienda kwenye mabanda yanapochipukia wakat wa likizo
Mchikin ina walimu wake ungeuliza kwanza
 
Sasa wew na spoon feeding yako ulifata nin kwa Mtiga
 
Hakuna 'picha' za haya mnayoyajadili hapa??
 
Muddy phzx nakumbuka kuna maswali mawili alitosolvia ya magnetism na yakatoka necta phyz paper 1 2014. My best teacher ever
 
Aisee mpaka leo yani muddy kanifanya kila ninachosoma basi nitafute a real scientific approach of it. Moddy anajua sana kufundisha aisee.. yule jamaa ni a real scientist. Sijapata ona mwalimu kama yule tena.
 
Dah hao jamaa wote ni watabe ila Muddy ana mbwembwe flam hiv za kukufanya utamami kurudi kesho
Jamaa ana talent ya hali ya juu ya ufundishaji
Ni kweli yaani kama angefikiria kulingana na technolojia ya leo. Basi aweke his lesson clips in youtube. Naamini zitakuja kusaidia watu wengi sana. Yule jamaa ana friendly approach in every difficult concept.
 
Muddy makes physics to be a simpler subject than any other subjects..physics looks easy, that's talent. Salute to that man..best teacher ever
 
Moody physics comissioner huyo mtu acha kbsa kwa kweli cwez kumsahau kbsa physic nimepga A o levo n A level kwa msaada mkubwa wa uyo jmaa ...kanisaidia. Sanaaa popote ulipo moody physics pokea salamu zng za dhati kbsa ,now nipo chuo but till now cjaona lectures yyte nimfananinize na moody kwa ufundshaj ,very gifted talented man ...khabari zake utazipata kwake tu kijaaanaaaaa[emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…