Kutoka Mchikichini: Mudy physics, Side, Mtiga - Nani mkali?

binafsi namkubalii Sana'a mgotee [HASHTAG]#moody[/HASHTAG] yupo vizuri sema notes zake hazipo competent mgote alinfanyaa physics ya advance niichambuee kama karanga
 
Nnavo fahamu ni kua mwaramy alikua akifundisha Pure Maths sasa una mwekaje na kina Muddy ama Mgote wakat apa wana discuss mtabe wa physics??
 
hakuna kichwa kama dr.weinsman thehardest from azaboy mtoto wa magomeni alikuwa noma.sasa hivi sijui yukowapi
 
" ladies and gentlmnt, time is unlimited factor, for today let us end up here at this partclar jucntion, wll cntinue tomorrw when we r going to meet again..."

Moud yupo vzuri, anatalent ya kumpa mtu nondo.

Ukitaka usikie mbwembwe zake, mtanie kuwa Hidden anakupondaga.
Atakwambia, KILA ANAEJUA PHY LAZIMA AJUE NA HESABU , ILA SIO KILA ANAEJUA HESABU LAZIMA AJUE PHY. PHY SOMO LA WANAUME
 
wote waziushi tu vichwa pale ni Kihombo na Mtiga wauatilie hawa jamaa na hutajuta kutoa pesa yako
 
Nnavo fahamu ni kua mwaramy alikua akifundisha Pure Maths sasa una mwekaje na kina Muddy ama Mgote wakat apa wana discuss mtabe wa physics??
Nani alikuwa anaeleweka sana?
 
Kitu hapo ni kihombo sema anakiburi sana ndio maana wachache wamepita mikononi mwake
 
haaaaa! ulienda kufuata nini kule???
tuition...ticha akantongoza siku hiyohiyo..."u r so beautiful jay..napenda kuona hivo vidimpoz vyako ukicheka..u mrefu kama twiga unavotembea unanivutia unajua**"""
mi najibu tu asante huku nimeshika chaki nachora chini.
dada akanipiga mkwara marufuku kukanyaga kule..nkaja gundua ticha ni mwanafunz udsm sijui yuko likizo...walah angenigeuza mke wake yule
 
dooooh poleee...ni kweli kina step ina kumbukumbu yake...somo gani lilikufungisha safari ya kule??? au geog1 tehe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…