Kutoka maktaba

comte

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
8,222
5,946
1589391041952.png
 
Naona mwamba wa katikati kapiga six button moja matata sana.
Juu kapiga miwani kama ya mwamba wa filamu za kivita Rambo a.k.a Silvester Stallone.

Sema huyo fundi aliye shona suti natamani nimhakiki vyeti vyake vya kozi ya ushonaji.
Anafaa kabisa kupewa kesi ya jinai ya kughushi nyaraka.
 
Aliye shona koti la mheshimiwa mwenye bahasha hawezi kufa njaa akifungua ofisi ya ushonaji pale Sinza.
 
Back
Top Bottom