Wewe utakuwa mtu mzima mwenzanguJoyce wowowo
Yale ya shulen. Na elimu ya mtaani ni Vitu viwili tofauti.Kusoma kuelewa kufaulu mbwembwe tu huyu dogo kadhirisha kuwa maisha hayana formula formula ni wewe mwenyewe
Vip, bado hujapata majibu??Msambwanda umetokea wapi ghafla? mbona ulikuwa haupo?
Ffffffffffff
Hila mchizi ka hustle, sijui katumia mbinu ipi.Bashite angeandika kitabu aiseeh jamaa anaonekana ana story kali sana.. sema hawezi kukiandika sababu mambo ya cheti akiyaweka yatazua taharuki.. labda asubiri akizeeka akiwa na miaka kama 90 ambapo atakuwa hana cha kupoteza ndio aandike kitabu atiririke mwanzo mwisho kutoka jina la Bashite hadi Makonda.
Title ya kitabu iwe ..A boy from koromije
Vipi now yamekuwa..Hivi kumbe zamani Bashite hakuwa na makalio makubwa kama aliyonayo sasa
Sure ...jamaa simpendi ila anaonekana ana bonge la story nyuma ya pazia.. sio rahisi kupata div 0 Tz halafu uka-rise hadi sehemu jamaa alipofika ( watanzania wengi tunaamini katika elimu ya darasani) jamaa atakuwa kapambana sana hadi kufika alipo.. atakuwa kapiga deals zote legal na illegal
Hizo deal muhim... Jigga alisema " ....dont be too nice... " ilikutoboaSure ...jamaa simpendi ila anaonekana ana bonge la story nyuma ya pazia.. sio rahisi kupata div 0 Tz halafu uka-rise hadi sehemu jamaa alipofika ( watanzania wengi tunaamini katika elimu ya darasani) jamaa atakuwa kapambana sana hadi kufika alipo.. atakuwa kapiga deals zote legal na illegal
Wacha kabisa alofufua huu uzi ni nani
Matunzo kaka, kuna mtu kagharamia.Msambwanda umetokea wapi ghafla? mbona ulikuwa haupo?