Kutoka maktaba

Kutoka maktaba

Nyamisatii
Mkuu naona ulipita wakati unaenda MAFIA ktk mambo yako.....maana nyamisatii ni kijiji kimoja wapo cha wilaya ya rufiji kilicho na bandari(ila kibandari kadogo- local port) ya kwenda MAFIA.
 
Angekuwa na rangi nyeusi...ningesema muongeaji enzi zake.
 
1479766355955-jpg.437548
mke halali wa mshana jr huyo😀😀
 
Huko nyuma waliita haxina ujanani ilikuwa nzuri kwa kuandaa maisha ya kujitegemea ,siku hizi dijital micheni shingoni begani chakupigia magasi
 
Duh Mshana mdogo wangu, ulisubiri nikue ili unitoe kwenye JF? Sawa bwana sasa nimekua ila maisha ndo yale yale na majani hayo ndo najifunika sasa baada ya kibanda changu kupigwa na tetemeko.
[emoji87] [emoji85] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji3] [emoji3] [emoji106] [emoji115] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
[QpaUOTE="mshana jr, post: 18568402, member: 98741"]Nyamisatii[/QUOTE]Napajua
 
Back
Top Bottom