Greatest Of All Time
Platinum Member
- Jan 1, 2017
- 26,550
- 62,021
Watangazaji mahiri wa miaka ya 90, unaweza kumkumbuka walau mtangazaji mmoja.
Kuna Rukia Mtingwa na Sauda KilumangaToka kulia Hayati John Ngahyoma, Hayati Julius Nyaisanga, Manambi Isamail, wengine nimewasahau.
Toka kulia Hayati John Ngahyoma, Hayati Julius Nyaisanga, Manambi Isamail, wengine nimewasahau.
Haya sawa mkuu wangu.!
!
Ni Nyaisangah Mkuu, Sio Nyaisanga.
Hizo mbwembwe tu mkuu baada ya kwenda kwenda shule tumepata ufaham kidogo ndo tukaanza kuyaremba majina yetu ya asili ila Bantu majina yetu hayarembeki.!
!
Ni Nyaisangah Mkuu, Sio Nyaisanga.
Hizo mbwembwe tu mkuu baada ya kwenda kwenda shule tumepata ufaham kidogo ndo tukaanza kuyaremba majina yetu ya asili ila Bantu majina yetu hayarembeki.