HahhaahHuyu ni mm kabisa
vipi, aliwahi kuwa askari na kwenda vitani uganda enzi za mvamizi iddi amini?Alifariki miaka ya 2014 ama 15 mara ya mwisho alimpa maisha yake Yesu na kuwa Mchungaji wa kanisa la kilokole kule Kilindi Tanga..
Alipigana vita vya Kagera na jeshini amestaafu akiwa na cheo cha Lutenivipi, aliwahi kuwa askari na kwenda vitani uganda enzi za mvamizi iddi amini?
Power Mabula jitu lishibAcha
Ni kama katika picha hapo juu namuona huyo hananja hakika nina mengi ya kuzungumza na huyu chaplain wangumchungaji hananja nae kafanya sana kazi hii ,mpaka meno engine yalimng'oka
ukiangalia picha yachini yake ,kulia kwa mabula mchungaji hananja huyo achana na picha mabula anavuta gari ,hiyo waliyosimama kulia kwa mabula ni mchungaji hananja huyoNi kama katika picha hapo juu namuona huyo hananja hakika nina mengi ya kuzungumza na huyu chaplain wangu
Kweli ee?mchungaji hananja nae kafanya sana kazi hii ,mpaka meno engine yalimng'oka
HakikaAisee pawa mabula alijulikana nchi nzima kwa watoto wa shule miaka ya 80 na 90. Alikuwa anakusanya umati mkubwa wa watoto mitaani akiwaimbisha wimbo wake wa pawa mabula ee, ee, alikuja ee, ee.... Watoto wa zamani tuna mengi ya kusimulia
Na nguvu piaKababa yee....yee( huyu alikuwa mwana mazingaumbwe)
Pawa Mabula alikua Mwanajeeshi?Duh, atakua vipi hai ndugu yangu? Miaka yote hiyo, ?
Ww tukikaa vibaya utaulizia vichekesho vingine.
Wanasema senti tano ya enzi hizo ni sawa na Elfu 50 ya sasa hiviAlifaidika vipi na hizo senti aisee.
Hii ilikuwa mwaka gani? Kwa sasa Shilingi ishirini na senti tano zimebaki kwenye picha tu. Ukitaka kuziona live labda uende benki huko utazikuta.Maisha yameenda kasi sana, unaweza kujua hii ilikuwa mwaka gani?View attachment 3310537
Soma post #27Pawa Mabula alikua Mwanajeeshi?