Kutoka maktaba: Mwalimu alipokuwa kisiwani Mafia

Kutoka maktaba: Mwalimu alipokuwa kisiwani Mafia

Salamander

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2012
Posts
28,545
Reaction score
15,781

393975_10151511208178452_459090956_n.jpg
 
Mwalimu alikuwa mjenga nchi, Kikwete sharobaro tu aende Santiago Bernabèu huko akamsalimie Ronaldo.

Dunia ishavurugwa mkuu. Soma alama za nyakati.

Watu wabaya sana cku. Usicheze nao. Dunia hii si ya WAUNGWANA TELE, ni WASHENZI TELE.

Usimzidie J.K.

Take care!
 
Hizo gari ndizo zilikua Kilimo kwanza enzi hizo
 
Kikwete anatembea na v8 gari 5
Hivi vitu vinaenda na zama jamani hata Mwalimu ingekuwa ni kipindi chake sasa hivi na yeye pia ingekuwa hali kadhalika.

Punguzeni siasa
 
Huwa nawaza sana kizazi kama cha kina
JK Nyerere
R. Mgabe
Samora
Kenyatta
Mandela
Kwame Nkrumah

Kujirudia tena
 
Kikwete anatembea na v8 gari 5

Lakini mkuu BONGOLALA tuwe rational kidogo, wakati huo hata angekuwa prof. Kikwete angetumia aina hiyo ya usafiri kwqni techolojia, miundombinu pamoja na hali za kiuchumi usafiri huo ndio ulikuwa v8 halisi!

Anamapungufu yake Mrisho lakini haya mengine tunayajadili kwa chuki tu pasi uhalisia.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom