Sasa hapo alikuwa anamlinda kwa sababu gani?Kwani jiwe alikuwa ni raisi hadi apewe ulinzi huo?Huyo kondeboy kanenepeana balaa ila jamaa yuko vizuri sana kwenye kazi yake hiyo..
Sasa hapo alikuwa anamlinda kwa sababu gani?Kwani jiwe alikuwa ni raisi hadi apewe ulinzi huo?
Mkuu hata wa ukawa alipatiwa ulinzi?Ni utaratibu wa kawaida,wagombea urais hupatiwa ulinzi.
Mkuu hata wa ukawa alipatiwa ulinzi?
Mkuu hata wa ukawa alipatiwa ulinzi?