Kutoka Maktaba; miaka ile ya 90

Kutoka Maktaba; miaka ile ya 90

Kibohehe sec school, ulikuwa unachotea kidogo kwenye maharagwe kupata ladha
 
kipindi hicho namfukuzia bibi yenu
 
Mwaka 95 hata shule bado sijaingia tena nilikuwa napenda sana kutembea peke enzi hizo.
 
Aseee,hebu weka na za lifebuoy,royco,aspro,revola,tanbond nikumbuke enzi za muvi za "Loha" mkuu.Nacheeeka...!
 
Ongeza hii......
 

Attachments

  • 1417870872791.jpg
    1417870872791.jpg
    7.7 KB · Views: 465
daah, e bwana hilo kopo la blue band umenkumbusha mbali saaaana mkuu. Lilikuwa la bati sio plastiki. Dingi alikuwa akirudi hom anakuja na maswali kibao ya skuli (hasa kuimba multiplication tables) ukishindwa huli mkate asubuhi. Nakumbuka tangazo la KIWI la mzee jangala ITV miaka ya 1996 ile.
 
Nakumbuka hayo makopo ya blue band na yale ya Cow boy tulikuwa na kikundi chetu cha kutengeneza magari ya makopo na yale ya waya! watoto wa kisasa ubunifu huo sijui wanao?

Playstation wamuachie nani
 
Katika sauti ya kubana pua "REVOLA"...
"REVOLA"...
"REVOLA"...
"REVOLA"...
"REVOLA"...
"REVOLA"...
 
Back
Top Bottom