Kutoka maktaba: Dr. Ulimboka

Kutoka maktaba: Dr. Ulimboka

Escaper

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2018
Posts
1,780
Reaction score
3,241
Gazeti: Majira
Tarehe: 28/06/2012
20190501_150142.jpeg
 
Eti alitekwa akapigwa akatupwa Mabwepande Msituni akakutwa na Mpita njia ambae hapo hapo akampigia Simu Mama Hellen Kijokisimba nae akawapigia ITV wakaenda kumuokoa Live!

Dr Ulimboka bila ya kutegemea akafanywa karata ya kuchochea Wananchi waasi dhidi ya Serikal ya Dr Kikwete

Mama Kijo akaitisha Maandamano ya kwenda Ikulu bahati mbaya kwake Wananchi wakayapuuza!
 
Kama nimekuelewa ulimaanisha zaidi ya ulichokiandika! Kulikuwa na undezi sana kipindi kile! Kila ukipita lazima usikie " unanijua mimi?"
 
Back
Top Bottom