Kutoka Mahakamani: Scorpion afutiwa shtaka unyang'anyi wa kutumia silaha na kujeruhi

Kesi Hii Ni Sawa Na Hile iliyotokea Zanzibar Maeneo Ya Mtoni!! Mtu Anaonekana Kabisa Kuwa Ni Professional Sniper kutoka Kikosi moja Wapo Ya Vilivyopo Zanzibar Akiwa Amebeba AK47 huku Akiwa Katika Mwendo Wa Kasi kwenye Motorcycle anampiga Risasi Padri Na Kumuua! Halafu Hatimae Wanakuja FBI na Kukamatwa Fundi Seremala ambaye Hajawahi Kukamata Hata Bastola Ya Bandia....
As a result Baada Ya Jecha Kuipa CCM ushindi Hile Kesi hata haijuilikani imetiwa Dustbin la wapi...
 
Mahakama ndio chombo cha kutoa haki! Sasa kama upande wa mashitaka (Jamuhuri) wameamua kufuta shitaka ndio ujue kuwa tulipotoshwa na tunapotoshwa vitu vingi kwenye media na mitandao ya kijamii..
True, kuna zaidi ya ukweli kuliko huu tunaoaminishwa.
 
lazima ushahidi uoneshe pasina shaka kuwa aliburuzwa,na pia aliburuzwa ili agongwe gari afe ndo iwe attempted murder.

Ila kama kweli alimchoma visu vya tumbo,yes inaqualify kuwa attempted murder
angechomwa na visu si angetembea?
 
kuna tetesi kuwa scorpion ni mtetezi wa watu buguruni dhidi ya vibaka ndio maana hata polysi walimuacha afanye kazi yake

inasemekana side ni mfadili wa makundi ya vibaka.....
Yaaah hiki kitu nimekisia jana ndomaana ata mimi nilikuwa sitaki kuamini jamaa amtoboe macho mshkaji kwa nia ya kumuibia tu.
 
Inaelekea wanaume wa mkoani hawamjui scorpion. Halafu sisi watu wa Buguruni tunamjua huyo Saidi na shughuli zake, na pia tunajua shighuli za Scorpion ndio maana watu hata hawakuhangaika nao.

Watu waliwaacha wamalize mambo yao.

Tunaangalia tu watu wanavyo shadadia mambo wasiyoyajua kwa undani wakipiga kelele dunia nzima ikiwa ni pamoja na mkuu wa kaya ya Jiji.

Scorpion ni mtu aliyeamua kujichukulia sheria mkononi kwa kuwa uwezo huo anao.
Kwa maana ya uwezo wa kupambana na mtu yoyote ambae ni mtukutu. Anapiga kareti kama za kwenye kideo na physic yake sio ya wanaume hata 2 wa kawaida. He is a man na nyongeza.

Kwa kifupi ni kwamba Buguruni kuna watu watanashati na wanashughuli zao za maana lakini wanamiliki mitandao ya vibaka ambao hupora na kuwaletea mizigo wanayopora.

Na hiyo ndio wanapopatia hela zao nyingi.

Hujawahi kujiuliza Tv, radio, vipochi, simu na vitu vingine kama hivyo vikiibiwa huwa vinaenda wapi?

Wale waibaji huenda na kumkabidhi mtu halafu wanapewa hela flani ndogo(ya kula).
Yeye huvitakatisha vile vitu kwa kuviuza kupitia legitimate channels kwa yeye hubaki kuwa mtu legit.

Scorpion alikua ametangaza kiama kwa vibaka pale Buguruni. Na alikua anawashughulikia kweli. Hivyo he was posing a danger kwenye biashara za watu.
Wakati vibaka wakindelea kushughulikiwa na hali ikionekana imeanza kuwa swari, yani vibaki waliosalia wanahamia kambi nyingine kama vingunguti, gomz etc.
Ndugu wa kike wa mpiga kareti (rafiki wa scorpion) akaporwa pochi iliyokua na simu maeneo ya Buguruni sheli.

Scorpion akaamua kumsaka muhusika na hakufanikiwa kumtambua. Akaamua kutuma ujumbe kwa mkuu wao ambae ndie mhanga wa macho, kuwa anataka arejeshewe mali iliyoporwa.

Kama kawaida ya wapanga misheni mkuu akapiga kimya.

So Scorpion akaamua kudeal nae, the boss himself ndio akamfuata alipomkuta and the rest of the story baada ya kumfuata face to face mtakua mmeipata kwenye media.

Sasa nyie mpeni mamilioni na assets bosi wa wahalifu kisa mnamhurumia wakati hamumjui.

Ndio maana watu hawakutaka kuingilia kesi wakati jamaa anasurubiwa. Sie wa buguruni tunaelewa.

Mtu hakurupuki tu kumtoboa toboa mtu asiyemjua.
Wewe unaweza kuisadia mahakama bwana scorpion akarudi uraiani kuendelea na kazi ya kuisaidia jamii.
 
nliweka uzi nkazungumzia namna gani huyu jamaa anaeza kuwa hana hatia il kuna raia wanaongozwa na media na mihemuko yao binafsi wakanitukana...haya sasa imeanza kuthibitika maana msishangae jamaa kuskia kafutiwa mashtaka yote
na akilud uraiani mheshimiwa ajiandae kwa maneno yake ya kukulupuka maana jamaa anaeza akahtaji fidia ya kuchafuliwa jina lake na magazet pia yajiandae tuu!!!
Nawe pia umemaliza yote kana kwamba jamaa keshatolewa ila kuna mtu nimemsoma vema sana kwenye hili lililoanza kutokea nanukuu
" Nafikiri ni formalities za kufungua mashataka upya yanayoeleweka na ambayo yanaweza kuthibitishwa na Jamuhuri bila kuacha mashaka yoyote"mwisho wa kunukuu tubakize akiba ya maneno kwenye hili na tusubiri tuone.....
 
Ungejua who you talking to wala usinge ji compare woman!!!! I bet ur sooo ugly that's why u find scorpion attractive! What's soo Attractive about this cold blooded killer?
Childish!
Hujui kuwa huyo ni mtu wa utani na mizaha mpaka unatokwa povu debe?
 
Ungejua who you talking to wala usinge ji compare woman!!!! I bet ur sooo ugly that's why u find scorpion attractive! What's soo Attractive about this cold blooded killer?
mama kama huna la kuandika pita kimya kama sisi wengine,usituharibie mood
 
Huyu scopion ndiyo anaepambana na vikundi vya wahuni, vibaka na magenge ya wahuni

Kwa maana nyingine nayo iyona mimi scopion itakuwa aligusa penye maslai ya watu flani!
Hata mimi nimeangalia hili swala kwa jicho ka tofauti kidogo, kama ni kweli aliyetolewa macho alikuwa agent watu wakiibiwa anapelekewa kwa ajili ya kuuza, maana yake police wa hilo eneo wanamjua na wanamlinda ndiyo maana wananchi wakishtaki police hawafanyu chochote, hata siku ya tukio hawakutoa msaada kwa kuwa waliona ndicho anachostahili
kingine aliyetolewa macho tuliambiwa anafanya kazi salon na kwao wana hali duni china alikuwa aende kwa kazi gani? Police wa buguruni waangaliwe walikuwa wanapata pesa kutoka kwake
 
Back
Top Bottom