Kutoka Mahakama kuu Singida: Kesi ya Lissu yaahirishwa kwa muda kusaka mashahidi

yule shahidi wa mwisho alinifurahisha sana
1.kwanza anamuogopa mungu
2.anakaa super kitasa geust house
3.kalipiwa mpaka supu ya kuku na chapati 6 asubuhi wakati anakuja mahakamani
ujamalizia wakamuhaidi na demu wa kichaga akimaliza ushahidi alipowageuka hata nauli awakumpa chadema wakampa wakasema watamtafutia mnyaturu
kazi ipo mwaka huu
 
Wana JF, tumekaa mahakamani tangu asubuhi. Muda uliotolewa sisi kuwasubiri CCM kusakanya mashahidi, umetimia. Tukatinga ndani ya mjengo wa mahakama saa 5 kamili. Mashahidi wa CCM hawakupatikana. Inasemekana ni viongozi wa CCM waliohamishwa Singida baada ya uchaguzi Mkuu ndo walikuwa wanakuja kutoa ushahidi. Bahati mbaya wameingia Singida usiku wa kuamkia leo, wamefundishwa kuja kutoa ushahidi, mambo yakawa hayaendi sawa, wakili amefika mahakamani amesema yeye hajisiki vizuri, pengine itamletea shida katika kutafsiri sheria. Hivyo amemwomba jaji kuahirisha kesi mpaka kesho saa 3. Jaji akamuuliza sasa mashahidi wapo? watapatikana? akasema nina hakika kesho tutawapata, na mimi nitakuwa na afya njema. Tumetoka Mahakamani, Tusubiri yatakayojiri kesho tutawaambia.

Hawa mawakili wengine ni kudhalilisha taaluma zao tu,eti na mimi nitakua na afya njema,uwongo wa kitoto kabisa!na hao mashaidi kama imeshajulikana ni wa kununuliwa basi watabanwa vizuri sana tu,na mahakama ikigundua kua wamenunuliwa kuja kutoa ushahidi itabadi wapigwe vifungo au mtaani muwatandike bakora ili iwe onyo kwa wajinga wengne wenye mtindo huo,kuna kesi za maana sana za kusikiliza na sio huo ujinga
 
...kwa huo ushaidi wa kubumba ata kama ukimleta Warema kwa kamanda Lisu watatosha tu!...
 
Wana JF, tumekaa mahakamani tangu asubuhi. Muda uliotolewa sisi kuwasubiri CCM kusakanya mashahidi, umetimia. Tukatinga ndani ya mjengo wa mahakama saa 5 kamili. Mashahidi wa CCM hawakupatikana. Inasemekana ni viongozi wa CCM waliohamishwa Singida baada ya uchaguzi Mkuu ndo walikuwa wanakuja kutoa ushahidi. Bahati mbaya wameingia Singida usiku wa kuamkia leo, wamefundishwa kuja kutoa ushahidi, mambo yakawa hayaendi sawa, wakili amefika mahakamani amesema yeye hajisiki vizuri, pengine itamletea shida katika kutafsiri sheria. Hivyo amemwomba jaji kuahirisha kesi mpaka kesho saa 3. Jaji akamuuliza sasa mashahidi wapo? watapatikana? akasema nina hakika kesho tutawapata, na mimi nitakuwa na afya njema. Tumetoka Mahakamani, Tusubiri yatakayojiri kesho tutawaambia.

Kazeni mwendo makamanda.
Njia ya mwongo ni fupi, na sentensi zake huwa hazijirudii.
 
Tafadhari, waambie walete mashahidi wa kweli la sivyo, watahukumiwa na Mungu kwa uongo wao,maana baba wa uongo ni shetani(Ibilisi) Mungu hapendi wadharimu,Lissu mtegemee Mungu wako naye atakutegemeza kwa yote.Na mwisho wao ni aibu kubwa.
 
Huyu Jaji ni mvumilivu sana.. ....au?; mbona kwa macho ya kwaida tu inaonekana hapa hakuna kesi; ingekuwa hao mashaidi ni wa upande wa Lisu sidhani kaa ingekuwa hivi. nadhani kesi ingeshafutwa.
 
Ila kwenye ile kesi mi naona kama vile maigizo!
hivi kweli unamleta shahidi tena mwanachama wa CHADEMA unategemea nini?
jana watu wamecheka utadhani sijui hawako mahakamani maana yule shahidi
kawaua ile mbaya madai yake
nauli ya kuja mjini kapewa na mwenyekiti wa ccm
chakula kwa muda wote mwenyekiti amekilipia
super kitasa guet hous mwenyekiti wa ccm kalipia
na siku iliyofuata kila kitu ni juu ya mwenyekiti.
anasema acheni niseme ukweli kwa jinsi nilivoona.
wakala wa ccm aliandika malalamiko juu ya mawakala
ila baada ya matokeo yote ya kituo kujumlishwa ilikuwa ccm imeongoza kote hapo
kituoni anamaanisha ubunge,udiwani na urais
msimizi akamwambia sasa iweje na wewe ndio umeshinda!?
akasema haina haja tena!
na akasema kama kupewa chakula ni rushwa basi wote walikula rushwa kwa kuwa
mawakala wote waliletewa chakula na vyama vyao iweje iwe rushwa kwa CHADEMA tuu!!?.
shahidi alihoji na kuwaacha watu wakikauka na kucheka shahidi wa mwisho jana kiukweli ni ameionyesha
mahakama kuwa hawa jamaa wanavua mashahidi na kuwapika ila bahati mbaya toka mwanzo hakuna
aliepikwa akawiva.
kwani hata hao walalamikaji wenye hawajapikika kila mtu aliongea lake!!
walamikaji wako wawili na kila mtu anasema kivyake duu!! tutaendelea kuwajuza kinachojiri kwa kesho.
 
Ushahidi wa kufundishwa siku zote una matatizo sana ngoja tusubiri kesho mtasikia vituoko hivyo,maana kama anakesha wakili akiwafundisha namna ya kujibu maswali ambayo anayo Mh Lisu nadhani ni kujidanganya na kupoteza muda na kisha kuendelea kupoteza kodi zetu walala hoi,Isango tunakutegemea sana kesho utuhabarishe kwa wakati,maana hiyo ngoma inatia hamu kuisikiliza
 
Back
Top Bottom