Mtini
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 1,492
- 2,361
Hakuna tukio lililoniumiza jana kama hatua ya Wema Sepetu kuhamia CHADEMA. Sikutaka huyu binti mrembo na ambaye nampenda sana kutoka CCM. Najua ndani ya CHADEMA anaenda kupotea kabisa...
Cha ajabu leo kapata coverage kubwa sana. Kumbuka jana Makonda alikuwa na Press Conference, Siro alikuwa na Press Conference ila hawajapata coverage kubwa kama Wema.
Huyu binti ana nguvu na mvuto wa ajabu