Kutoka kwa jpm Kilimanjaro

bavicha hawapendi wanaopiga vita wezi.
Wezi wanajulikana wapo kwenye chama gani.
Chama kinachozalisha, kuratibu na kulea wizi, ufisadi, udhalimu, rushwa, ubadhirifu na uvunjifu wa haki za binadamu kinafaamika.
 
Kaenda kula hali ya hewa na ubaridi wa mlima kilimanjaro lazima awe fresh
 
Haijalishi,nenda kaibe na wewe au kafanye corruption kwani umaskini ulionao unaufurahiya......?na ujue anavyoisoma namba mwenye nacho sio sawa na wewe kajambanani.
Wewe nani kasema mimi ni masikini. Kwa taarifa yako mimi si masikini.
Muache kuiba iba... mmekalia uizi tuuu. Mwaka huu lazima mnyooke kama wenzenu ambao saa hizi wako chali wanaweweseka.
 
Duu ifike mahali jamani tujitambue tunaongea nini kwenye nini.... Kuna maneno hawapaswi kuongelewa na kiongozi mkubwa....
Maneno ya shobo na kibabe namna hii tuwaacheni wale wanaotambiana mitaani
Urais ni taasisi yenye dhima kubwa sana

Hayo maneno ni ya huyu Boeing na si ya JPM
 
Well said man [emoji106] [emoji106] [emoji111]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…