Kutoka kwa jpm Kilimanjaro

Hivi kupigia kura chama kingine cha siasa,ni kutokumpenda mtu?
 

Wanakimbiza kwa uwizi na corruption.
Na kwa taarifa yako wanaisoma namba mpaka utawaonea huruma.
 
bavicha hawapendi wanaopiga vita wezi.
 
Wanakimbiza kwa uwizi na corruption.
Na kwa taarifa yako wanaisoma namba mpaka utawaonea huruma.
Haijalishi,nenda kaibe na wewe au kafanye corruption kwani umaskini ulionao unaufurahiya......?na ujue anavyoisoma namba mwenye nacho sio sawa na wewe kajambanani.
 
IRINGA ndo hajawahi kanyaga kabisa, na hivi tuko uwanda wa Juu, sijui anajua ni Ulaya huku! Bado anakumbuka walichomfanyia wakati wa kutafuta wadhamini!
Ndio sababu ya kumfukuza ccm mama Msambatavangu..

Halafu bila soni tena hadharani anadai eti yeye ni Rais wa wote na kwamba hana ubaguzi..
 
huyu jamaa kweli ni wale wa lile kundi la 1/4
 
Kuna siku mtakuja kama wageni kutoka nchi nyingine...
 
Nimekuja kwenye mji wa wagumu! Najua hamnipendi ila Mimi ndio raisi wenu!!
Duu ifike mahali jamani tujitambue tunaongea nini kwenye nini.... Kuna maneno hawapaswi kuongelewa na kiongozi mkubwa....
Maneno ya shobo na kibabe namna hii tuwaacheni wale wanaotambiana mitaani
Urais ni taasisi yenye dhima kubwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…