magnifico
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 13,280
- 31,866
Ninachojivunia kwa kuwa Mtanzania.
Ni ile tabia yetu ya kuwa na Munkari wa hali ya juu mwanzoni wa tukio lakini mwisho wake wala hatuutilii maanani.
Huwa tunanyoosha sana midomo awali kwa umoja lakini kwenye kuujua mwisho tunapotea.
Mfano!... Samahani kwa watakaoboreka.
1. Kesi ya Lulu vs Kanumba... Aisee nani hakulijua sakata hili mwanzoni... Ila nani anajua hatma ya ile dhamana???
2. Chenge na vijisenti... Nani asiyeujua huo usemi wa mtu kula mabilioni halafu anaita vijisent. Ila nani anahoji uhalali wake bungeni hadi sasa.
3. Lowasa kujiuzuru skendo la Richmond... Hivi na ww sio mmojawao wanaopiga kelele kuwa ndiye raisi anayefaa??
4. Chidy Benz na madawa ya kulevya... Hivi kweli ikitokea harudi tena mahakamani patakuwa na kelele??
5. Hivi Mh. Mbunge Kaptain Komba.... Hivi zile picha chafu unazo hadi leo kwenye simu yako au ushafuta umeona hazina maana??
6. Sitti Mtemvu, amelivua taji... Hv unaweza kujua kesi atasomewa lini ya kudanganya umri??
7. Whaaat! Kuna Twiga walipandishwa ndege??? Iliishia wapi sasa hii.
8. Mwangosi? Mara mtu kung'olewa kucha, meno...... Ushasahau ee?
**Dah! Haya nd'o uzuri wetu...... Na sasa ni ESCROW......