Kutoka kwa Chambi Chachage: Marejeo ya maisha ya Abdulwahid Sykes na harakati za kuunda tanu

Mohamed Said

Verified Member
Nov 2, 2008
14,736
2,000
KUTOKA KWA CHAMBI CHACHAGE: MAREJEO YA MAISHA YA ABDULWAHID SYKES NA HARAKATI ZA KUUNDA TANU
Mohamed Said June 26, 2017 0


Waliosimama wa kwanza kulia Mwandishi, William Mfuko, Juma Mwapachu. Waliokaa wa kwanza kulia ni Andrew Gordon, Edward Makwaia (sasa Chief Edward Anthony Makwaia wa Busiya) na mama yake Bi. Mary Mackeja nyuma yake ni Wendo Mwapachu 1967.
Ombi kwa Mzee Mohamed Said

Inbox
x
Personal
xAIbEiAIAAABECI_1rvPe4Ya08wEiC3ZjYXJkX3Bob3RvKihiY2IxODMxODNkZDVmNzNiMTQ4MmQ4NjkzYWQ0M2NiMTg3OTRhOGRiMAFgmdcagkY2kXiFApvu7rWJvkQvHA

Chambi Chachage
20:50 (1 hour ago)
cleardot.gif

cleardot.gif


cleardot.gif

to me

cleardot.gif


Eid Mubaraka Mzee Mohamed Said. Tafadhali rejea maelezo hapo chini. Ofisi ya Hamza ni ipo hapo?


----- Forwarded Message -----
From: Juma Mwapachu <jvmwapachu@gmail.com>
To: Udadisi Mdadisi <chambi78@yahoo.com>
Sent: Monday, June 26, 2017 8:04 PM
Subject: Re: Your dad Hamza Mwapachu had an office at Ilala Quarters?

Chambi

Ilala Quarters No 55 was our Baba's official residece as Welfare Officer from April 1949 upon returning from UK. His government office was at Ilala Boma, the same location where the Ilala District office remains for all years. I am not sure what Mohamed Said has written. He knows well about Hamza. Mzee Plantan was not President of TAA whole of 1949. That year saw changes in leadership late 1949 with Abdul Sykes and Hamza Sykes doing a coup. What Mohamed refers as a meeting place remains some kind of a secret. It is somewhere in Ilala. I cannot see how our little sitting room could accommodate the inner group of TAA revolutionaries of 5 people in a meeting. But at was at those meetings in 1950 and part of 1951 that the independence agenda was shaped.

On 26 Jun 2017 2:49 pm, "Chambi Chachage" <chambi78@yahoo.com> wrote:
Eid Mubarak Balozi! Kindly refer to the quote below from Mohamed Said. Was the office located at the "two-bedroomed government house,Number 55 Ilala Quarters" that you mention elsewhere? When?

"Ofisi ya Mwapachu pale Ilala ikawa kituo cha mijadala ya siasa nyakati za mchana. Jioni vikao hivyo vya majadiliano vilihamia Tanga Young Comrades Club. Hiki kilikuwa kilabu maarufu cha kukutana, hasa kwa vijana maarufu na muhimu katika mji wa Dar es Salaam. Kilabu hiki kilikuwa New Street, Karibu na makao makuu ya TAA. Mijadala ya siasa nyumbani kwa Abdulwahid au katika ofisi ya Mwapachu Ilala au Tanga Club kidogo kidogo ikawa inaingia katika nadharia ya vile vijana wangeweza kuitoa TAA kutoka kwa wazee wale, ambao kwa hakika vijana waliwaona kama makapi ya utawala wa Kijerumaini. Wakati ule mwaka 1949, Mwalimu Thomas Plantan ndiye aliyekuwa rais wa TAA. Katibu wake alikuwa Clement Mohammed Mtamila" - THOMAS SOUDT PLANTAN RAIS WA MWISHO WA TAA ALIYEKABIDHI CHAMA KWA VIJANA WADAI UHURU WA TANGANYIKA


THOMAS SOUDT PLANTAN RAIS WA MWISHO WA TAA ALIYEKABIDHI CHAMA KWA VIJANA WADAI UHURU WA TANGANYIKA
Thomas Soudt Plantan Utangulizi Siku zote nimekuwa nikimkera mama yangu Bi. Maunda Plantan kupitia mwanae ...
 

Mohamed Said

Verified Member
Nov 2, 2008
14,736
2,000
Naona swali hapo nadhani ni la Chachage kuja kwako baada ya kupata email ya majibu kutoka kwa Kaka Juma.
Maalim Faiza,
Nami ndipo nikaona hebu nililete hili jambo Majlis.

Lakini haya yote kijana anachomwa na ule ukweli kuwa hiyo TANU
hapo kwa Hamza na Abdul ndipo kwake.

Hana jingine la kufanya ila achokonoe hata pale alipopewa jibu na
mwenye mali.
 

Bujibuji

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
57,636
2,000
Sheria za jf zinakataza kuleta jukwaani mijadala ya kwenye e mail, na PM
 

Mohamed Said

Verified Member
Nov 2, 2008
14,736
2,000
Hizo tu eenh? Mpe na Sifa yake kuu Domo chafu
Duduwasha,
Nakuomba usome hayo maneno hapo chini kwenye nyekundu uliyoandika
kwenye moja ya mijadala tuliyokuwanayo hapa Majlis:
''Nadhani wewe kuni quote bila sababu nadhani ndio ulitaka kuchafua me upumbavu simandishi acheni nyege kama hauna point ya kujadili...''
Mimi nikakusihi kwa maneno hayo hapo chini:
Duduwasha,
Historia hii imekuudhi sana.
Tafadhali punguza ghadhabu.
 

Mohamed Said

Verified Member
Nov 2, 2008
14,736
2,000
Nakuelewa xn mzee
Kauga,
Ahsante nami nakupa hii zawadi ndogo hapo chini:


Kulia: Chief Edward Anthony Makwaia wa Busiya alipokwenda kumpa pole Kleist Sykes (kushoto) alipofiwa na mdogo wake Adam Abdulwahid Sykes. Kiasi cha nusu karne iliyopita baba zao watu hawa walikaa mara kadhaa wakijadili namna bora ya kuwaondoa Waingereza Tanganyika. Wakati ule baba yake Edward, Chief David Kidaha Makwaia alikuwa mjumbe wa LEGCO na Abdul Sykes alikuwa Katibu na Kaimu Rais wa TAA. Mengi ya mazungumzo haya yakifanyika nyumbani kwa baba yake Kleist Mtaa wa Aggrey na Sikukuu ambako Abdul akimwalika Chief Kidaha chakula cha jioni. Wazee hawa nimebahatika kuwaona na kucheza na watoto wao hapa Dar es Salaam. Sasa tunazeeka pamoja. Hakika dunia inazunguka.
 

Duduwasha

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
5,714
2,000
Duduwasha,
Nakuomba usome hayo maneno hapo chini kwenye nyekundu uliyoandika
kwenye moja ya mijadala tuliyokuwanayo hapa Majlis:
''Nadhani wewe kuni quote bila sababu nadhani ndio ulitaka kuchafua me upumbavu simandishi acheni nyege kama hauna point ya kujadili...''
Mimi nikakusihi kwa maneno hayo hapo chini:
Duduwasha,
Historia hii imekuudhi sana.
Tafadhali punguza ghadhabu.
Kwahiyo unafukua makaburi? Kwanini hujaniquote kwenye huo uzi umeleta hapa ili iweje? Au ndio uonekane unajua kuquote nyuzi mbali mbali yaani unaufahamu zaidi na wengine hawajui? MUCH KNOW SANA EEH.

Tambua mimi kila mtu nayemjibu kadri alivyojileta so ukichukua majibu ya mwingine ukaona yanakufaa it's fine
 

Mohamed Said

Verified Member
Nov 2, 2008
14,736
2,000
Kwahiyo unafukua makaburi? Kwanini hujaniquote kwenye huo uzi umeleta hapa ili iweje? Au ndio uonekane unajua kuquote nyuzi mbali mbali yaani unaufahamu zaidi na wengine hawajui? MUCH KNOW SANA EEH.

Tambua mimi kila mtu nayemjibu kadri alivyojileta so ukichukua majibu ya mwingine ukaona yanakufaa it's fine
Duduwasha hapana haja ya kughadhibika. Haya ni mazungumzo tu.

Sina moja nilijualo ukiondoa ukweli kuwa haya nimeyajua kwa kuwa ni historia ya wazee wangu.

Ningezaliwa kwengine ningebaki mbumbumbu Mzungu wa reli.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom