Kutoka kwa Abdul Nondo

Pole sana ukiwa binadamu usijichanganye na mashetani yatakushawishi katika mipango ya hovyo mwisho wa siku yatakuwacha ni mungu pekee ndio amekusaidia!
Acha upashkuna weye solar panel!Hakushiriki uhuni wala hakujiteka.Alitekwa na mijitu mihuni.Mahakama pasina shaka imemuona hana hatia.Karunguyeye!
 
wewe unapigia kelele wapi? hapa tu una fake ID
 
sijashauri mtu kitu nisichokiweza, nakuwa muongo wa nafsi. naona umerukia treni kwa mbele
Hoja yangu hapa ni hii, kama wewe Muunga mkono serikali na CCM umejificha nyuma ya ID fake unatakaje mpinga Serikali na CCM awe kwenye jina halisi katika zama hizi za kutekana na kuuana. Huoni wewe ndiyo hujanielewa!!
 
Unanijua mimi ni nani wewe? Kwani ni yeye pekee kapitia madhila na wakati mgumu?

Tii mamlaka iliyopo madarakani hata tumeamriwa hivyo kwenye maandiko matakatifu.

Amri!
pu. pu. mbav.u .u.u.u.
 
Hoja yangu hapa ni hii, kama wewe Muunga mkono serikali na CCM umejificha nyuma ya ID fake unatakaje mpinga Serikali na CCM awe kwenye jina halisi katika zama hizi za kutekana na kuuana. Huoni wewe ndiyo hujanielewa!!

depressed person

CDM hawakutaki. CCM hawakutaki hemaphrodite
 
depressed person

CDM hawakutaki. CCM hawakutaki hemaphrodite
Jibu hoja wewe, Kama wewe Muunga mkono wa serikali uko kwenye jina bandia, unatakaje mwenzio naye awe kwenye jina halisi.

Kunguru wa Lumumba sijui wakoje!!
 
Jibu hoja wewe, Kama wewe Muunga mkono wa serikali uko kwenye jina bandia, unatakaje mwenzio naye awe kwenye jina halisi.

Kunguru wa Lumumba sijui wakoje!!
usipojibiwa unafanya nini? unaingiza sh ngapi?

unamkusanya mkeo na vitoto vyako leo nimemshinda mtu kwa hoja JF!!..huwa nasema una akili ndogo, najua unajua hilo

msingi wa hoja hauwezi kumwambia Nondo eti asinyamaze, akina Lissu,walimaliza shule!..

wewe verified user unakosoa serikali au una support serikali?

fuatilia kwa miaka 10 iliyopita humu, nasimamia ukweli na nakosoa yeyote yule. najulikana hivyo
 
Mbona hatoi taarifa za kutosha kuhusu kutekwa, au madai waliyosema Polisi ni kweli bila shaka?
 
Pole sana dogo. Tanzania Daima inaripoti kwamba DCI alikuwa anakulazimisha ukubali kuwa unatumiwa na Mbowe na Zitto, ni kweli ulitoa matamshi hayo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…