Kutoka kwa Abdul Nondo

Unanijua mimi ni nani wewe? Kwani ni yeye pekee kapitia madhila na wakati mgumu?

Tii mamlaka iliyopo madarakani hata tumeamriwa hivyo kwenye maandiko matakatifu.

Amri!
Maandiko yale pia ni tungo za kiutawala
 
Utatii dictator? Utatii ukatili? Utatii mauaji? By the way, maandiko unayajua wewe, kuna wapagani wasio na dini wala Mungu, andiko hilo haliwahusu!
Maandiko yapi??? Tungo za wanyonyaji tuu hizo
 
Pole sana
Najua umechagua fungu jema na sio la na crazy psychopath walahi
Good luck on your endeavors walahi
 
Yule jamaa ana vibweka sana.Eti anajipigapiga kifuani kama anaumwa kifaduro na kujiita yeye ni kichaa.Zamani zile tungesema yeye ni "mental"!
Halafu ukitaka kujua kuwa yule jiwe ni kichaa kweli muite "Kichaa Jiwe" hadharani uone timbwiri lake. Anakuwa kishasahau kuwa alijipa hayo majina yeye mwenyewe mbele ya kamera hahaha.
Frustrations ÷ madness = predicaments to the ruled class
 
The right meaning of a word gentleman...... Good
 
Mwisho wa ubaya ni aibu,mapambano yanaendelea,maliza Kwanza masomo yako.###abdul nondo.
 
Halafu ukitaka kujua kuwa yule jiwe ni kichaa kweli muite "Kichaa Jiwe" hadharani uone timbwiri lake. Anakuwa kishasahau kuwa alijipa hayo majina yeye mwenyewe mbele ya kamera hahaha.
Frustrations ÷ madness = predicaments to the ruled class
Nilisahau kama alisemaga ana "fulasitesheni"! Hahahahaaaa!Vibweka country!
 
Utatii dictator? Utatii ukatili? Utatii mauaji? By the way, maandiko unayajua wewe, kuna wapagani wasio na dini wala Mungu, andiko hilo haliwahusu!
Tii wewe!
Mbona kwenye chama chetu hata tukiletewa FISADI ligombee URAIS na mwenyekiti sote lazima tutii.
Hakuna kugombea nafasi ya uwenyekiti sote tunatii.
hata udikteta tii tu! Vinginevyo tutakuita MSALITI kama tulivyowaita akina Zitto walipokataa kutii amri ya kutogombea uwenyekiti na yule "MSALITI" Dr Slaa aliyegoma FISADI kugombea URAIS kupitia chama chetu.
Ukitaka uishi kwa amani we TII tu!
 
Pole sana jembe.
Nadhani wabaya wako wameumbuka.
Pia vipi kuhusu ishu ya uhamiaji mmeshamalizana au bado wanatafuta nchi ya kukupeleka wakufanyie kama Migunamiguna?
 
Tii mamlaka iliyopo madarakani hata tumeamriwa hivyo kwenye maandiko matakatifu.

Amri!
Mkuu kuna watanzania hawayajui hayo maandiko wala hawakijui hicho kitabu, nafikiri unajua kuwa Tanzania ina zaidi ya makabila 250,watanzania ni jamii ya watu mchanganyiko kama tunataka Amani itawale kwenye nchi yetu basi kila mtu apewe heshima yake, acha ubinafsi mjomba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…