Kutoka kuwa Mwenyekiti wa CCM mkoa hadi Mkuu wa mkoa kiitifaki ni kupanda au kushuka cheo?

Mkubwa ni yule mwenye uwezo wa kumuagiza mwingine afanye na bila kujali lolote anafanya. Nani ,kati ya waziri na KM wa CCM anaweza kumuigiza mwenzake?

Sasa hivi haijalishi cheo ulicho kiprotocal, bali anayejipendekeza zaidi kwa Magufuli ndio mwenye nguvu.
 
Wakati wa awamu ya kwanza enzi za mwalimu Nyerere Katibu wa CCM ( M) ndiye alikuwa Mkuu wa mkoa labda nianzie hapo.

Kwa utaratibu wa sasa Mwenyekiti akipata uteuzi inabidi ajiuzulu aende kwenye utumishi mpya, tumeiona hiyo kwa Zambi wa Lindi, Chalamila wa Mbeya na huyu wa jana wa Arusha.

Je, kiitifaki na kimadaraka yupi yuko juu ya mwenzie kati ya huyu mwenye ilani na yule anayetekeleza ilani.

Nitashukuru kwa majawabu yenu waungwana

Maendeleo hayana vyama!
We ajuza wa lumumba una maswahili ya kipuuzi sana
 
Back
Top Bottom