kutoka kina tambwe ngoma mpaka kina yikpe na molinga

Mar 10, 2020
5
0
kutoka kuwa na mastraika hatari kama kina tambwe na ngoma ambapo kabla yakusajiliwa walikuwa wanajulikana team walizokuwepo na walisajiliwa wakiwa hatari

mpaka kwa kina molinga na yikpe ambao tunaambiwa wametoka team fulani ambayo walicheza misimu miwili au mmoja uliopita
 
Ogapa sana kuambiwa huyu mchezaji aliwahi kucheza sijui Mamelod(si mseme anatokea timu gani now),badala ya kuambiwa anatokea TP Mazembe kama Deo Kanda
 
Yikpre hamna mchezaji kabisa
Molinga quality yake ligi ya Zanzibar kanda ya Pemba
Anyway haya ma VAR fc yalidharau ligi yakaleta wazee washindane na nations team players (19 with season) na wameshindwa
Nauhakika msimu ukiisha yanga mnatimuana tena kuanzia msola,mwakalebela ,Lucy_ mkwasa ,ally ally,yondani na wrote wasio na namba za nida
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom