hoja dhaifu kama hizi zinadhihirisha jinsi cdm ilivyo filisika. Bado sana kuwa na upinzani imara tanzania.
Nyie vibaraka wa ccm mpokeeni huyo zito na mhakikishe mnampatia UWENYEKITI ndani ya chama chenu cha wezi wa rasilimali zetu. Cdm ni bora kuliko ZZK
wapiga kura wa ZZK tunamshukuru Mungu kwa yote yaliyotokea kwa Mbunge wetu na haya yote tunasema yamekuja kwa wakati kwan huyu jamaa ana ndimi nyingi zinazomfanya kutoaminika mbele ya jamii.Jamaa ana mchango mdogo mdogo sana ktk chama na ndio maana jimbo lake mpaka leo lina diwan mmoja tu wa CDM.kwa majanga anayoyafanya mtu huyu cc tunakaribisha uchaguzi mpya na kamwe z hatumtaki kwanza ameshamuachia Mr Piter serukamba jimbo na ameshaanza kujinadi.NB:Ungewajari wapiga kura wako hakika leo hii tungekupokea kama Mfalme ila kwa kuwa ulijifanya mbunge wa Taifa, basi Taifa likupokee(RIP ZZK)
Ni virahisi kwa CDM kuchukua majimbo ya Ukonga, Temeke, Ubungo, Kinondoni na Kawe! Ila siyo Mwandiga kwa Zitto.
wapiga kura wa ZZK tunamshukuru Mungu kwa yote yaliyotokea kwa Mbunge wetu na haya yote tunasema yamekuja kwa wakati kwan huyu jamaa ana ndimi nyingi zinazomfanya kutoaminika mbele ya jamii.Jamaa ana mchango mdogo mdogo sana ktk chama na ndio maana jimbo lake mpaka leo lina diwan mmoja tu wa CDM.kwa majanga anayoyafanya mtu huyu cc tunakaribisha uchaguzi mpya na kamwe z hatumtaki kwanza ameshamuachia Mr Piter serukamba jimbo na ameshaanza kujinadi.NB:Ungewajari wapiga kura wako hakika leo hii tungekupokea kama Mfalme ila kwa kuwa ulijifanya mbunge wa Taifa, basi Taifa likupokee(RIP ZZK)
Ni aibu kwa Zitto anayejipambanua kuwa mzalendo jimbo lina diwani moja wa chadema.
Zitto ni nyoka ....... Nenda kwa mafisadi wenzako. Kigoma kuna shida ya maji chakula na huduma za afya, lakini Zitto anatembea na Hammer
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Baada ya kustukia Njama za Kumuua na kuomba Ulinzi,
Baada ya kustukia Njama za kutafuna Ruzuku na kuomba Ukaguzi,
Baada ya kustukia njama za kumchafua kwenye Mtandao na kuomba Ufafanuzi kwa Katibu Mkuu,
Baada ya kuanza kujipanga kwa Uchaguzi Mkuu wa Chama ili afichue kipengele kilichong'olewa cha ukomo wa Uongozi,
Baada ya kustukia njama za kutaka kumfanyia Fujo ndani ya Mkutano Wa Baraza kuu na kuamua Kuingia na Walinzi binafsi wanne
hatimae Chadema Tawi la Freeman Mbowe limeamua kumfukuza na kumvua Nyadhifa zote Zitto Zubeir Kabwe
Bwana wako Lema ameifanyia nini Arusha? acha kutumika na kufuata mkumbo.
MNAMA wa Kigoma.
Ni aibu kwa Zitto anayejipambanua kuwa mzalendo jimbo lina diwani moja wa chadema.
Zitto ni nyoka ....... Nenda kwa mafisadi wenzako. Kigoma kuna shida ya maji chakula na huduma za afya, lakini Zitto anatembea na Hammer
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Wewe Nyakageni usidanganye watu huyu jamaa hakubaliki kwa sasa hata nukta moja Kigoma Kaskazini usiaminishe watu maneno ya uongoNi virahisi kwa CDM kuchukua majimbo ya Ukonga, Temeke, Ubungo, Kinondoni na Kawe! Ila siyo Mwandiga kwa Zitto.