Kutoka Kenya: How President Magufuli plans to destroy Africa’s ecosystem

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,398
73,992
Uchokozi huu kutoka Kenya. Someni wenyewe kwa mnaojua kizungu. Siwezi kutafsiri! Ona walivyo m-describe rais wetu:
..........One defiant and inconsiderate leader is Tanzanian President John Magufuli who has decided to sign a deal that will see a $3 billion hydroelectric power plant constructed in the Selous Game Reserve.

1549014103458.png


Nawawekea link
How President Magufuli plans to destroy Africa’s ecosystem – Daily Active Kenya
 
Kuna taasisi za kitaifa na kimataifa zinazoshughulikia utunzaji mazingira. Kwa namna moja au nyingine hizi taasisi huhusishwa kabla mradi utakaogharimu mazingira kuanza.

Hizo taasisi hutoa majibu ya ama mradi uanze au usianze.

Hizo taasisi zimesemaje? (NEMC kwa Tz)
 
Kabla yakujibu lolote tujue tunaongea na nani? what is Kenya

Hapa ndo waswahili wenzangu mara nyingi siwaelewi. Jibu hoja. Kwanini Unaamini kwamba mwandishi anapotosha au JPM anafanya sivyo. DAIMA usi-attack mtu. Attack hoja. Wenye uelewa wao watachambua pumba na mchele.
ya
 
Kuna taasisi za kitaifa na kimataifa zinazoshughulikia utunzaji mazingira. Kwa namna moja au nyingine hizi taasisi huhusishwa kabla mradi utakaogharimu mazingira kuanza.

Hizo taasisi hutoa majibu ya ama mradi uanze au usianze.

Hizo taasisi zimesemaje? (NEMC kwa Tz)
Kwa Tanzania, kwa sasa hakuna taasisi inayoweza kukinzana na Magufuli, unataka ifutwe, itoweke? waulizwe uraia, watumbuliwe? Nobody will dare say contrary to magufuli!
 
Back
Top Bottom