Kutoka Iramba Magharibi

Kutoka Iramba Magharibi

Leo kuna mkutano sehemu moja inatwa nguvumali-kata ya ndago,utafanywa na Nchemba,kiukweli simkubali huyu bwana hata kidogo,hata jimboni kwasasa hakubaliki ila nani toka nguvu ya umma atakayekuwa mbadala,TAFADHALI CC CDM,Mrudishieni uanachama Dr.,hatupendeki hata kidogo ahamie CCM,huko atalishwa unga wa ndere na Bi. Kirembwe.
 
CDM Iramba kimekufa kabisa nyie ndugu zangu wanyiramba acheni kumfikiria Dr Kitila maana hata mkidhikiri uc
Sasa tuendelee kulima Alizeti yetu na mahindi na ndugu zangu wa Kidaru, Kiteka, Doromoni wote waendelee kulima uwele na kutumia vyema hizi mvua zinazoendelea kunyesha!

Hakuna namna Dr Kitila akarudishwa ingawa mmeumia sana! Na kinachowauma zaidi kwa CCM kuendelea kuimarika katika tarafa zote nne na kata 17 na vijiji vyake 76!

Songela zigizigi!
Acha upuuzi mkuu,toa vielelezo kwamba cdm iramba imekufa!
 
Mhimizeni aendelee na ndoto yake ya kugombea. Kwa ninavyowafahamu wanyiramba hupenda na kumkubali mtu. Wala sio issue ni chama gani atagombea. Lakini asijegombea kupitia CCM.

Habari zilizopo ni kwamba uongozi wa wilaya na mkoa wamekaa juzi wameweka mikakati ya kumshawishi Kitila arudi CCM kisha apambane na Nchemba kwenye kura za maoni. Kwa maoni yao alishajijenga sana na anakubalika kwa watu wa aina mbalimbali, na wameahidi kumsimamia ashinde kura za maoni ndani ya chama. Lakini mjumbe wa NEC Kilimba amewaambia itakuwa ndoto kumshawishi Kitila ajiunge tena na CCM! Yetu macho.
 
Kamati kuu ya Chadema,tunawaomba,sisi wanairamba,mumurudishie uanachama Dr Kitila Mkumbo; ni mchango mkubwa sana kwetu lakini pia sisi kama wanachadema toka Iramba Magharibi bado tunaimani na sana na Chadema

huyo ni msaliti na masalia , tafuteni mtu mwingine .
 
Taarifa nilizozipata MWIGULU NCHEMBA atafanya mkutano jimboni kwake uwanja wa mpira uliopo katika ofisi za halmashauri ya wilaya ya Iramba,
jamaa yupo vizuri na kila siku anajizolea wafuasi wapya,
na awamu ijayo ya uchaguzi hana mpinzani.
Leo kuna mkutano sehemu moja inatwa nguvumali-kata ya ndago,utafanywa na Nchemba,kiukweli simkubali huyu bwana hata kidogo,hata jimboni kwasasa hakubaliki ila nani toka nguvu ya umma atakayekuwa mbadala,TAFADHALI CC CDM,Mrudishieni uanachama Dr.,hatupendeki hata kidogo ahamie CCM,huko atalishwa unga wa ndere na Bi. Kirembwe.
 
Leo kuna mkutano sehemu moja inatwa nguvumali-kata ya ndago,utafanywa na Nchemba,kiukweli simkubali huyu bwana hata kidogo,hata jimboni kwasasa hakubaliki ila nani toka nguvu ya umma atakayekuwa mbadala,TAFADHALI CC CDM,Mrudishieni uanachama Dr.,hatupendeki hata kidogo ahamie CCM,huko atalishwa unga wa ndere na Bi. Kirembwe.

mjomba huyo jamaa amejiteketeza mwenyewe kwa tamaa zake , MBONA KUNA MAKAMANDA WENGINE KIBAO TU !
 
Taarifa nilizozipata MWIGULU NCHEMBA atafanya mkutano jimboni kwake uwanja wa mpira uliopo katika ofisi za halmashauri ya wilaya ya Iramba,
jamaa yupo vizuri na kila siku anajizolea wafuasi wapya,
na awamu ijayo ya uchaguzi hana mpinzani.

mjomba hiyo hadithi sahau , tena futa kabisa , usisahau kuwatahadharisha na mamluki wenzio , USICHEZE KABISA NA CDM MKUU !
 
Taarifa nilizozipata MWIGULU NCHEMBA atafanya mkutano jimboni kwake uwanja wa mpira uliopo katika ofisi za halmashauri ya wilaya ya Iramba,
jamaa yupo vizuri na kila siku anajizolea wafuasi wapya,
na awamu ijayo ya uchaguzi hana mpinzani.

Kiomboi hawataki hata kumwona,hatapata watu kabisa,labda angeileta timu ya simba.
 
Kamati kuu ya Chadema,tunawaomba,sisi wanairamba,mumurudishie uanachama Dr Kitila Mkumbo; ni mchango mkubwa sana kwetu lakini pia sisi kama wanachadema toka Iramba Magharibi bado tunaimani na sana na Chadema

Ndg yenu Kitila alikosea sana kutaka kuiangusha himaya ya mzee Mtei! Huu ni usaliti mkubwa usio sameheka!
 
Hata akipiga magoti na kulia kama masalia mwenzake wa Kigoma,asisamehewe katu,utamsamehe vipi mtu ambaye kila siku anakutafutia matusi kwa kigezo cha usomi wake?
Wanyiramba kama hamuwezi kuichagua cdm kwa sababu ya Kitila na mfanye hivyo,aacheni wataichagua watu wa Singida mjini.Singida magharibi na manyoni mashariki na magharibi badala yenu!
 
Jamani wanajamvi mimi si Dr Kitila Mkumbo,hivyo si vema kusema kwamba "umeamua kuomba msamaha kupitia jf".Mimi ni mzalendo wa Iramba ,naipenda Iramba na Tanzania kwa ujumla.Tangu nirejee toka Denmark,nia yangu ni kuona cdm inafanikiwa,hata vyama vingine pia,tunahitaji viongozi waadilifu,SIO KINA NCHEMBA.
 
Kuwashia taa pofu ni kuharibu mafuta.dkt.kitila kujua katiba ya cdm na kutojua sawa.kuwasha taa kwa pofu ni kuharibu mafuta
 
Mtume mwigulu aliyekuwa anamtumia ndani ya cdm akaiombe cc ya cdm si naye wa iramba kwenu
 
Haya ni mawazo potofu kabisa, wanairamba gani wanaoongea upuuzi kama huo, acha kuleta usumbufu, mliishaambiwa kama kuna mtu analiingia Chadema kwa ajili Dr Kitila mkumbo au Zitto na washirika wake, milango iko wazi, atoke awafate walipo, huwezi kusema unaipenda chadema huku bado unawasapoti wasaliti, upumbavu, waambieni wafungue chama chao muwafate, mbona kashasema tunahitaji chama mbadall wa Chadema na ccm, sasa mnapiga kelele za nini, vipi ule mradi wa cd za msaliti Zitto unaendaje, mambulula ninyi.
 
Back
Top Bottom