Kutoka Ikulu: Rais Magufuli awaapisha Mawaziri na Manaibu Waziri kutokana na mabadiliko ya Baraza

Watangazaji wa TBC wanasifia ovyo sana, walimsifia Muhongo kuwa ni msomi akatumbuliwa. Leo wanasifia tena wengine, sijui hawajishtukii?
 
hivi hata wale ambao walishakua mawaziri na wizara zao hazijabadilishwa nao wataapishwa?
 
Leo tutegemee kijambo kingine kutoka kwa mkulu.
Wee tulia tu mkuu, hii thread baadaye itamezwa na thread nyingine itakayoanzishwa kuhusu bomu alilolipua mukulu kama yale anayolipuaga kila anapoongea! Itabidi watu wote tuhamie kwenye hiyo thread hivyo hii itakufa kifo cha mende!
 
Just Curious to know:huyo jamaa aliyesimama kushoto Katibu Mkuu Kijazi ni nani?

Naomba jina!
 
Ruttashobolwa kada,ungejua kuwa makada wenzio wamejazana humu hata kwa id zinazowaonyesha kama wako mlengo ule wa kule usingeandika ulivyoandika.

Chama cha Mapinduzi ni Kikubwa sana.

Tulizana.
 
Back
Top Bottom