Kutoka Hospitali ya Taifa, Muhimbili: Rais Magufuli aenda kumjulia hali Kingunge Ngombale Mwiru

Halafu huyo Jakaya akamdhihaki kuwa ni wakuja tu!! Nilishaapa urafiki na mswahili ni kinyaa utampa tonge hapa akishiba akanya anaanza matusi!!!

Hapo kwenye Mswahili futa weka mwanasiasa!

Rais wa sasa wa Angola kamchenjia Rais Dosantos japokuwa ndio walimpa Urais

Rais wa Zamani wa Zambia Fredrick Chiluba alichenjiwa na aliempa Urais Hayati Levy Mwanasiasa!

Bingu wa Mutharika nae alimchenjia Bakili Muluzi!

akina Mzee Kingunge baada ya kumsaidia Jakaya kuwa Rais walisahau kuwa Rais ni Rais wao waliendelea kumchukulia kama Mshakji tu Mwanamtandao mwenzao!

Hata Jakaya pamoja na kumsaidia Magufuli kama 'Kijana' wake sasa hivi anamheshimu kama Rais kamili!
 
Mswahili!!
 
Back
Top Bottom