Kutoka Hospitali ya Taifa, Muhimbili: Rais Magufuli aenda kumjulia hali Kingunge Ngombale Mwiru

w0rM

Member
May 3, 2011
68
164
Rais Dkt. John Magufuli amemjulia hali Mzee Kingunge Ngombale Mwiru aliyelazwa katika wodi ya Mwaisela, Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es Salaam

> Mzee Kingunge anatibiwa majeraha baada ya kushambuliwa na mbwa nyumbani kwake

WhatsApp Image 2018-01-06 at 10.58.37.jpeg

WhatsApp Image 2018-01-06 at 10.59.01.jpeg

Ni Jambo zuri!
Ni Mtihani mkubwa sana hata kama huamini uwepo wa Mwenyezimungu kuondokewa na Mkeo wakati upo ICU unapambania uhai!

Mzee Ngombale ni Mzee wetu na kalifanyia Taifa hili mambo mengi sana!

Binafsi namshukuru sana Mzee Kingunge kwa kuwa mmoja wa waliosaidia Jakaya kuwa Rais wetu 2005-2015
 
Wahenga walipata kusema "Tenda wema nenda zako" na wengine walinena "Uungwana ni vitendo", pole saba babu yetu kingunge, Allah azidi kukupa nafuu upone na kurejea hali yako ya kawaida.
 
Rais Dkt. John Magufuli amemjulia hali Mzee Kingunge Ngombale Mwiru aliyelazwa katika wodi ya Mwaisela, Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es Salaam

> Mzee Kingunge anatibiwa majeraha baada ya kushambuliwa na mbwa nyumbani kwake
This makes sense. Unaenda kumsalimia mgonjwa hospitali kwa roho nyeupe na Mungu anakuona na kusikiliza sala yako. Mgonjwa naye anafurahi kukuona, anashukuru, anakuombea kwa Mungu ili sala zako za kumwombea mgonjwa wako zisikilizwe apone. Tofauti na mgonjwa mwingine anakutukana kila siku, anaitukana nchi yako anaomba Mungu isusiwe, analalama mbona Spika haji kuniona, mbona Naibu Spika hanitembelei harakaharaka, mbona polisi hawaji kuniona, mbona Rais hajanipa pole? Hapo kuna Mungu kweli? Pole Nzee Kingunge.
 
hahaha just hahaha akili nyingine hizi Ni za kuvukia daraja la Manzese ili usigongwe, ukute mtu kama wewe kuna watu wanakutegemea ati
 
This makes sense. Unaenda kumsalimia mgonjwa hospitali kwa roho nyeupe na Mungu anakuona na kusikiliza sala yako. Mgonjwa naye anafurahi kukuona, anashukuru, anakuombea kwa Mungu ili sala zako za kumwombea mgonjwa wako zisikilizwe apone. Tofauti na mgonjwa mwingine anakutukana kila siku, anaitukana nchi yako anaomba Mungu isusiwe, analalama mbona Spika haji kuniona, mbona Naibu Spika hanitembelei harakaharaka, mbona polisi hawaji kuniona, mbona Rais hajanipa pole? Hapo kuna Mungu kweli? Pole Nzee Kingunge.
Umemaliza mkuu.
Nami niseme tu pole kwa mzee Kingunge.
 
Back
Top Bottom