Bilionea kid
JF-Expert Member
- Oct 19, 2018
- 581
- 520
Naombeni mnipokee mimi mgeni kutoka facebook na mtandao pendwa instagram.
🇮🇱🇮🇱
🇮🇱🇮🇱
Wewe ni mtoto wa Bilionea Asigwa ???😂😂...anyways___Karibu JF
Kazi ya umoderator au😂😂😂😂 yawezekana mama aliniambia baba anafanya kaz jf nimekuja kumtafuta
Panda Gari njoo home mm ndo kiongozi umu
Karibu jukwaan. Jf Sio Fb nakukumbusha tena Jf sio Fb.Mkuu gari ya kwenda wap??
Jf mnamikwaraa lakini!!
[emoji124][emoji124][emoji604][emoji604]
Kazi ya umoderator au😂
Pole sana rich mavoko
He he he heNaombeni mnipokee mimi mgeni kutoka facebook na mtandao pendwa instagram.
🇮🇱🇮🇱
He he he heWewe ni mtoto wa Bilionea Asigwa ???😂😂...anyways___Karibu JF
No way rudi huko uko nyiye ndo ma low thinkers mnaowapa stres ma great thinkers.Naombeni mnipokee mimi mgeni kutoka facebook na mtandao pendwa instagram.
[emoji1134][emoji1134]