Kutoka Dodoma: Ziara ya Mgombea Urais kwa tikeki ya CHADEMA, Edward Lowassa

Sitachoka

JF-Expert Member
Nov 17, 2011
3,030
1,303
Mgombea urais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania mh. Edward Lowassa leo ataendelea na kampeni zake za kusaka kura za kumpeleka Magogoni.

Leo atakuwa katika majimbo ya mpwampwa na kibakwe kesho.


Ni mkutano unaotarajiwa kuweka historia ya mafuriko katika viwanja vya barafu katikati kabisa ya mji huu wa Dodoma.

Nitakuwa nanyi kuwaletea kitakachokuwa kinajiri kila hatua.

Karibuni.

WanaJF niwaombe radhi kwa kushindwa kuwapa updates za jana katka majimbo ya kibakwe na mpwampwa hii ilitokea baada ya usafiri tuliokuwa tukisafiria kutoka dodoma kwenda mpwampwa kupata ajali hivyo kushindwa kuendelea na safari kutokana na baadhi yetu kwa majeraha tuliyopata

Samahanini kwa usumbufu uliojitokeza
========================

September 10th 2015




Screen-Shot-2015-09-10-at-7.17.49-PM.png

Screen-Shot-2015-09-10-at-7.17.49-PM.png

Toka tarehe 29 August ulipofanyika uzinduzi wa kampeni Ukawa bado wameendelea kusogea sehem mbali mbali za kuwafikia wananchi na leo Sept 10 Mkoani Dodoma katika wilaya ya Kongwa mji mdogo Kibaigwa katika uwanja wa Amani wamefanya mkutano na Edward Ngoyai Lowassa.
Ni wajibu wangu kukusogezea kila kinachonifikia na hapa nimekuwekea picha za mkutano mtu wangu.

12006537_398870736972197_8949910356358657347_o.jpg



Wakazi wa Kibaigwa wakiwa karibu na usafiri wa mgombea uraisi 2015




Frederick Sumaye akizungumza na wakazi wa Kibaigwa




Wengine walifanya maamuzi ya kukaa chini




Hili ndio gari lililokuwa likitumika kama jukwaa








11947902_398867836972487_8938579923260319499_o.jpg



Wamama nao hawakuwa mbali na eneo la mkutano




Hawa ndio wagombea kwa nafasi ya udiwani wakitambulishwa na mgombea urais Edward Lowassa

DSC_9600.jpg

Edward Lowassa akimnadi mgombea ubunge wa Jimbo la Kongwa Essau Ngobei









COiX8rMWUAAvBDr.jpg



COioxLmWcAAm4Ki.jpg



source: Malunde/24hrs BLOGs
 
Pamoja lowasa

Lowasa akazie kulinda kura sio kutuambia hata zikiibiwa zitabaki
 
Ngoja nijiandae niende mapemaaaa, naomba na kigaira wampe nafas ya kuongea.Ana sumu sana
 
Mgombea urais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania mh. Edward Lowassa leo ataendelea na kampeni zake za kusaka kura za kumpeleka Magogoni.

Ni mkutano unaotarajiwa kuweka historia ya mafuriko kutoka katika viwanja vya barafu katikati kabisa ya mji huu wa Dodoma.

Nitakuwa nanyi kuwaletea kitakachokuwa kinajiri kila hatua.

Karibuni.

yale magari ya kusomba watu toka arusha,singida ,manyara na moshi yameshakamilisha zoezi la kuleta watu wa kumshangilia?
 
Back
Top Bottom