laki si pesa.
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 10,003
- 9,734
Mzee wa alinselema ameanza sasa
Azam Two Live
Mipasho tu ya kipuuzi.. Lowasa ndio Rais.
acha uzushi wewe, kwani sisi hatuangaliimpaka anatia huruma jk kachanganyikiwa kabisa .du kweli lowassa ilikuwa engene ya ccm
Acha ujinga Lowasa ni fisadi na mwizi lazima aambiwe ukweli mwizi mkubwa kabisa yule.Mheshimiwa Rais atoe hoja, aache kuendelea kugawa watu wa nchi hii katika makundi na kutoa tuhuma zisizo na ushahidi. Hao wanywa viroba ni wananchi wa nchi gani? Anawalinganishaje na wabwia unga anaojitapa kila siku kuwasaidia waachane na unga? Ama kweli tunahitaji kiongozi - atakayekuwa mfano kwetu. Sio anayetuongoza katika kutoa tuhuma dhidi ya raia wengine pasi na ushahidi wala mashtaka.
Kama fedha zake alishaziita "hela za madafu" unategemea nini??
Umelaaniwa wewe na mafisadi yako magufuli kwa sasa hapaswi kusema watanzania atawafanyia nini kwasababu kampeni hazijaanza unataka aseme nini wakati kampeni hazijaanza kiazi kweli wewe.watanzania tukiirudisha tena ccm madarakani tutakuwa tumelaaniwa... jk kasema maghufuli kila kitu anaomba ccm duh. hapa hatuna rais kamwe...