Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,237
- 44,470
CUF Sasa ni wazi kuwa ni chama cha wapemba tu.
Kuna chaguzi kubwa mbili nchini hivi sasa lakini kwa CUF kelele zao zote ni za yale yanayotokea Magogoni tu, kwanini?
Kwa CUF kuendelea, kuna haja ya kubadili mikakati yao, kwani kama watabakia kuwa chama cha wapemba tu, sio muda mrefu kitajimaliza.
.CUF Sasa ni wazi kuwa ni chama cha wapemba tu.
Kuna chaguzi kubwa mbili nchini hivi sasa lakini kwa CUF kelele zao zote ni za yale yanayotokea Magogoni tu, kwanini?
Kwa CUF kuendelea, kuna haja ya kubadili mikakati yao, kwani kama watabakia kuwa chama cha wapemba tu, sio muda mrefu kitajimaliza.
Sasa hizi ndio huwa naita akili za mende -Cockroach..... mtu unalalamikia tatizo lile lile kila mwaka na huji na uvumbuzi. CUF mbona mnalalamika kila mwaka halafu hamtafuti ufumbuzi??
Unaongea kama vile mtu mzima aliyepakwata (kama unaelewa nina maana gani ?)unataka kusema wananchi wa TANZANIA wao pigia kelele maisha na hali inavyofanywa kuwa ngumu na viongozi kwa kujilimbikizia mali ya nchi ni wao wakulaumia ?wakati serekali ndio yenye nguvu za dola inafanya mamuzi wayatakayo na wakati wautakao .
hwataki kujifunza, labda wamegeuza siasa kama mchezoSasa hizi ndio huwa naita akili za mende -Cockroach..... mtu unalalamikia tatizo lile lile kila mwaka na huji na uvumbuzi. CUF mbona mnalalamika kila mwaka halafu hamtafuti ufumbuzi??
Acha kutukana... CUF haitashinda kwa wewe kutukana. Swali liko palepale ... Kwa nini uingie kwenye uchaguzi ambao unajua utashindwa?
Nini maana ya uchanguzi?katika akili yako?uchaguzi unafanana na ligi za mpira sasa ukisema sitocheza mechi hii kwakuwa sitoshinda kwanini utauda timu( in a first place)?
HUNA HOJA,ni bora kuwa msomaji wa hii thread...kwani lazima CUF walalamikie ya busanda?..busanda ni CCM na CHADEMA ndio vinara kule na zanzibar ni CUF na CCM......acha unazi usiokuwa na kichwa wala miguu
stop being fool.CUF Sasa ni wazi kuwa ni chama cha wapemba tu.