Kutoka CUF Buguruni: Kikao na waandishi chaahirishwa, Lipumba akanusha fununu za kujiuzulu

Mwaka huu tutashuhudia mengi sana! hapo bado kabisa,...UKAWA ndio tegemeo la watanzania wengi waliokata tamaa!
 
timu lumumba wameongezewa dau kutoka buku 7 hadi 15 per day.

so tegemeeni:-

1.uzushi
2.udaku
3.porojo
4.uzandiki
5.propaganda.na
6.uongo wa hali ya juu.

yaan team lumumba hawalali wao kaz yao ni kupka maovu tu

Kwan kwa sasa nani kabaki team hyo maana naona kwa usajili tuliofanya wote wale wamekuja kwetu labda Lizaboni na mheshimiwa Chabruma
 
Last edited by a moderator:
Baada ya kutimia kwa kile nilichokisema kwa Dk. Slaa wiki iliyopita, leo tena naomba niseme. Dk. Lipumba ameshaagana na CUF. Hao wazee wanachofanya ni kujaribu kumshawishi abaki, lakini tayari Lipumba keshajitoa kwenye chama hicho. Wapo watakaotukana au hata kunibeza, lakini nasimama kwenye ukweli. Mchana mwema.
 
Wewe ni mtabiri tu ukweli atausema yeye usikimbie humu ndani.
 
Lipumba kujiuzulu + Slaa ku step down kimizengwe

UKAWA mmewaangusha wa tz, mtakua hamko tayari kushika dola mana mnachezea shilingi chooni.

Ni kweli wametuangusha wa-tz, nguvu wanayotumia kumsafisha EL, ni sawa na kuchukua maji yanayotiririshwa kutoka bafuni ukaya treat na ukawaambia watu sasa yapo tayari kwa kunywa wakati wanajua umekinga yanayotiririka kutoka bafuni
 
Lipumba inasemekana kapokea milioni 200 toka CCM toka mwanzo kabisa...haya mengine analazimishwa tu
 
Mwenye chama ni Maalim Seif. Kama ameshabariki ile kazi iliyoonekana jana, sidhani kama Profesa anaweza kuwa na athari hata kama atajitoa CUF na Ukawa.

kaka umeamua kuhama na gamba Lowassa kwenda chadema ? Maana uso umeumbwa na aibu ni vigumu kwako kumwacha kutokana na kukupa mtaji wa kuanzisha kagazeti
 
Back
Top Bottom