Ipo siku itakuwa "wrong truck" then utapewa siasa za watendaji kumuangusha,kheri kuaminishwa mambo yanaenda na huku una observe reality,sio hv anavyofanya jiwe,nguvu kubwa inatumika kuaminisha umma tupo kwenye right truck...Tuko kwe right truck
Tembea kifua mbereee
Lipeni mikopo na wenzenu wapate kusomaHabari wadau,
Leo Bungeni ishu ya Makato kichomi kwa mtumishi mnyonge aliesomeshwa na Serikali yalijadiliwa ambapo mbunge(simkumbuki jina) aliuliza " Serikali ina mpango gani wa kuyashusha makato hayo ambayo yalikuwa 8% na kuwa 15% ishu ambayo inawapa ugumu kiuchumi watumishi na wengine kukosa hata nauli za kwenda makazini"
Waziri Prof: Ndalichako alijibu "makato yapo kisheria,wadau walihusishwa na sheria kuvadilishwa,hivyo serikali ya wanyonge haina mpango wa kubadilisha makato haya"
NO Madaraja (vyeo),
NO Mabadiliko ya Mshahara,
NO Annual Incriment (July),
Matibabu,Nauli Kulipwa after 1+ year,
Makando kando mengine ya Utumishi
Mtumishi tafuta source nyingine ya Income, muda ni mali, umri unakwenda, hili jukwaa linaishi, Usije kulaumu hukushauliwa,
Ushauri ni hili Bandiko...
Kuna siku nimesikitika sana.Ipo siku itakuwa "wrong truck" then utapewa siasa za watendaji kumuangusha,kheri kuaminishwa mambo yanaenda na huku una observe reality,sio hv anavyofanya jiwe,nguvu kubwa inatumika kuaminisha umma tupo kwenye right truck...
Juzi ndugai wa kope bandia na genge lake wamepitisha sheria inayozuia kutoa takwimu kinzani na za serikaliKuna siku nimesikitika sana.
Nilikua nazungumza na afisa elimu flani.
Akanieleza juu ya upungufu wa madawati(viti na meza) kwenye idara yake ya elimu Sekondari (wilaya nzima).
Alisema upungufu wa madawati ni zaidi ya 95%, yeye kama mtalaamu alipoandika ripoti ya kueleza mamlaka juu ya upungufu huo alifatwa na Mkurugenzi na kuhojiwa kwanini anaandika kuna upungufu? Akaambiwa aandike hakuna upungufu hata 1% kwakua akiandika kuna upungufu mhe. Fulani ataleta shida sana na kuna watu watafukuzwa.
Kingine cha kusikitisha alisema katika vikao vyao afisa elimu-shule za msingi alisema wana upungufu mkubwa wa walimu wa shule ya msingi, akaitwa abadilishe ripoti zake aandike hakuna upungufu maana italeta shida.
Nilichoelewa katika yale mazungumzo ni kwamba nchi yetu hatuna uhalisia wa takwimu, hatuko serious na maendeleo wala hakuna mtawala yuko serious kuokoa elimu wala kizazi cha Tanzania.
Kila mtu apambane na hali yake tu
Sawa mkuu, mwakani June namalizaLipeni mikopo na wenzenu wapate kusoma
Vizuri si umesikia hata mchina ameanza kuteka viwanja na mashirika ya nchi kisa madeniSawa mkuu, mwakani June namaliza
Ndio lkn sheria yao walibadilisha angani, na hapa natembelea magoti. Na isubiri mwakani panapo majaliwa ya uhai kwa hamu sanaVizuri si umesikia hata mchina ameanza kuteka viwanja na mashirika ya nchi kisa madeni
Utamaliza tu mkuu sisi wengine tulikopa benki mambo yalibana na benki nao si unajua ila tulifunga mikandaNdio lkn sheria yao walibadilisha angani, na hapa natembelea magoti. Na isubiri mwakani panapo majaliwa ya uhai kwa hamu sana