Jumakidogo
R I P
- Jul 16, 2009
- 1,851
- 420
Mbona yeye tukimwita kwa utani bi fulani hata JF Tunapewa ban?
ameongea kwa utani tuu tusije tukalikuza kiivyo.
Sio hawa hata ukiwaita mawaziri kwa majina yao wanakuja juu wanataka uwaite waheshiniwa... (basi kwa heshima si angesema muheshimiwa Jambazi...) au?Ni lugha tu; ni kama kusema zitto kafanya matusi bungeni
Out of the topic please, nisaidieni sioni avatar wala majina ya wachangiaji kwenye mashine yangu nifanyeje?
utani kwenye issue serious haufai ila kesho na sisi tukimuita mwizi; fisadi au kibaraka asikasirike (ni utani tu)..,
ita hivyo uone lukuvi atakavyoomba mwongozo!utani kwenye issue serious haufai ila kesho na sisi tukimuita mwizi; fisadi au kibaraka asikasirike (ni utani tu)..,
Uelewa wangu ni kwamba huyu mama hafai kukalia hicho kiti.., chochote anachofanya naona kama anatuharibia Bunge (bora naibu wake).., huku kuteleza ulimi kumekuwa kunazidi...unaangalia na mazingira nanii acha kuwa kama sio muelewa.
Mbona yeye tukimwita kwa utani bi fulani hata JF Tunapewa ban?
Hapana hapa Chadema wachume tu (waonyeshe ukubwa wa kisiasa na busara) ila siku wakikasirika na kumuita kibaraka au mwizi; warejee hii statement na kusema ni Utani tu, au kuteleza ulimiHata hivyo inabidi Spika atolee ufafanuzi wa lugha aliyotumia na kuomba radhi kama imemkwaza au kuwakwaza Wabunge wa CDM.
Ni lugha tu; ni kama kusema zitto kafanya matusi bungeni
Hakudhamiria tumsamehe tu bibi wa watu.
niambie nini maana ya nenn ""JAMBAZI"ameongea kwa utani tuu tusije tukalikuza kiivyo.