Kutoka Bungeni:CUF wajitoa Kambi ya Upinzani kwa mnadhimu kukosa sifa

Mbunge wa CUF leo kaonesha wazi kuwa ni damu damu, kwani kaomba mwongozo wa mkiti wa kuwa wao na CDM hawako kambi moja . <br />
<br />
Nawsilisha.
<br />
<br />
isingewezekana wao kuwa kambi moja na chadema, ndoa yao inawabana, na wangekubali kuwa kambi moja na chadema tungewaona ni malaya kutokana na kwamba ccm wanawakula vitu.
 
Ila CUF basi tu, Huyu mbunge aliongea kama nani maana ktk kamati ya uongozi wa CUF bungeni yeye hayumo Anaropoka tu hata kama ni miongoni mwa hiyo kamati haya anayo sema ni maazimio ya kikao hata hivyo aliye waambia kuwa wao ni wapinzani ni nani
 
Kwani CUF ni chama cha upinzani? Huyo mbunge anaposema wamejitoa kwenye upinzani alipaswa kuulizwa ni lini walikuwa wapinzani?
 
CAFU tangu mwanzo mara tu baada ya uchaguzi walikataa kujiunga na kambi ya upinzani inayoongozwa na CDM, kisa Hamad Rashid aliukosa uongozi wa kambi rasimi Bungeni. Hivyo hatuwashangai, (Maalimu SEIF kapendeza kweli siku hizi ananyoa ndevu - Falsafa ya NAPE). Tunasubiri falsafa atakayokuja nayo kuhusu Dr. wa Ukweli W. Slaa kupata mtoto!!!!! teh teh teh teh....nk...nk.
 
Ila CUF basi tu, Huyu mbunge aliongea kama nani maana ktk kamati ya uongozi wa CUF bungeni yeye hayumo Anaropoka tu hata kama ni miongoni mwa hiyo kamati haya anayo sema ni maazimio ya kikao hata hivyo aliye waambia kuwa wao ni wapinzani ni nani


Hao CUF ni mayehe tunawajua wakishibishwa tu basi hawawezi hata kukohoa tena. Maalim seif alishakiuza chama hicho kwa manufaa ya mtumbo wake na midevu yake.
 
Kwa kuwa kuna kambi mbili tu rasmi bungeni, ile ya chama tawala chini ya CCM na ile ya upinzani chini ya CHADEMA. Kwa KAFU kujitoa upinzani ina maana sasa wamejiunga rasmi na CCM ili kuimarisha NDOA yao iliyofungwa huko Zanziibar.
 
Nafikiri ni nafasi pekee kwa chadema kufikiri nini mwelekeo na namna ya kuweza kujikosha na kujua kuwa utengano ni udhaifu.
 
Mbunge wa CUF leo kaonesha wazi kuwa ni damu damu, kwani kaomba mwongozo wa mkiti wa kuwa wao na CDM hawako kambi moja .

Nawsilisha.

Hivi alikuwa na sababu ya kuyatamka hayo?? Kila mtu anajua kuwa cuf sio chama cha upinzani tangu wamefunga ndoa na ccm. Kweli tuna wabunge mataahira
 
CUF ni wanafiki wakubwa ini lini walikuwa wapo kwenye kambi ya upinzani,ile kambi yao ndogo imeishia wapi?
 
ningefurahi zaidi kutokee muungano wa CUF na CCM huku Bara kama vile Zanzibar ili sisi wapinzani wa kweli tujulikane.. sio kuwa na mamluki katika kambi ya upinzani

Ndoa iliyofungwa Zanzibar inawahusu pia wa bara kwa sababu hawawezi kwenda kinyume na ndugu zao wa Zanzibar. Wamekwisha
 
Du! kumbe cuf bado wapo jamani?bac ngoja niwaombee dua2! Raha ya milele uwape ebwana cuf! Na wapumzike kwa amani! Amen.mi binafsi nilishawazika hao cuf na sitaki hata kuwasikia!
 
Back
Top Bottom