Kutoka bungeni: Aprili 25, 2013

Kutoka bungeni: Aprili 25, 2013

Magesi

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2012
Posts
2,587
Reaction score
578
Bunge limeanza kinachoendelea maswali ya hapo kwa hapo kwa waziri mkuu Pinda amkubalia Mbowe kuhusiana na wizara ya maji kuongezea bajeti ya maji.
 
Gharama ya ving'amuzi kuangaliwa zaidi na wizara
 
Je serikali itakubali kuisimamisha sheria ya stakabadhi ya mazao ghalani kwa miaka miwili kutokana na kugundulika kuwa imekuwa kero badala ya kuondoa... swali kutoka kwa Mtutura, mbunge wa Tunduru.

Pia ametoa pendekezo la kupunguza baadhi ya tozo ambazo hupunguza kipato cha mkulima. waziri mkuu amekubaliana na pendekezo hilo na kusema kuwa kwa zao la korosho pekee kuna tozo zaidi ya 10 ambazo humpunguzia mkulima shilingi 250 kwa kila kilo moja ya korosho
 
Moses Machali amependekeza kutungwa kwa sheria kuwadhibiti wabunge wanaojifanya wasemaji wa serikali bungeni. waziri mkuu amesema kuwa bunge linaongozwa kwa kanuni na zikitumiwa ipasavyo, sheria hiyo haitahitajika
 
Murtaza mangungu amependekeza serikali iweke wazi aina ya viongozi misafara yao itakuwa inapewa ulinzi ili kuondoa kero ya misongamano inayosababishwa na misafara ya viongozi
 
Wakuu..
Swali la J.Mnyika Limejibiwaje?
Huku Umeme Umekata..wakati,
Swali linaanzwa kuulizwa..anayefuatilia
Tujuzane
 
Aliuliza kwanini serekali haileti feedback kuhusu maazimio ya bunge kuhusu sakata la Jairo?
Pinda akasema bado tunalifanyia kazi na tutaleta taarifa wakati wowote.
Mnyika akauliza swali la nyongeza "naomba waziri mkuu atuambie night lini, atoe tarehe au bunge lipi"
Pinda: wakati wowote kuanzia sasa.
Mnyika: kwikwikwikwi..
 
Back
Top Bottom