Kutoka Bahari Beach Hotel: Yaliyojiri katika Mapokezi ya Edward Lowassa kujiunga CHADEMA

Nshasema nimeshaliona jina sihangaiki

Wewe unahitaji Total deliverence maana akili yako iko utumwani Babeli na hakuna anayesema rudisha! Nilidhani una jipya kumbe na wewe ni nabii wa uongo ha ha ha sema tu umelipwa sh. Ngapi uje kujaza saver hapa!
 
Aaah ccm mwaka huu mtajuta kumfahamu Lowassa. Thanks to my God for this wonderfull day you have changed the politics in Tz. kuna wajinga walidhani wana hati miliki ya nchi hii.
 
Aaah ccm mwaka huu mtajuta kumfahamu Lowassa. Thanks to my God for this wonderfull day you have changed the politics in Tz. kuna wajinga walidhani wana hati miliki ya nchi hii.

Kazi ndogo sana! Huyo ndo mgombea wenu wa uchaguzi ha ha ha vipi kuhusu Dkt.Slaa aliyekipigania chama kwa muda mrefu alikua analeta mchezo eeeee? Au ndo kusemwa mmeamua kumkata rasmi?
 
Ni vema Dr Slaa akatoa tamko.... pengine itasaidia kufanya mashabiki wake kuelewa msimamo wake binafsi juu ya hili.....

Dr Slaa is a kind of a person with abundance mentality visa vis scarcity mentality. Na kwa kuwa tulio wengi tuna roho nyepesi na ubinafsi tunaamisha roho zetu kwake kwa kumtaka atoe kauli. Atoe kauli gani. Lakini baba huyu pia ni mwelewa. Kama kuna hoja ya kumtaka kauli ataweza kuitoa. Hoja inayoohakisi ushindi si kwa CDM bali UKAWA na Tanzania kwa ujumla
 
Kilicho nistua ni majibu ya hasira! Shut up! Huyu ni wazi anahasira na visasi lazima aje kulipizaitokeapo akashinda - mungu aepushie mbali

Kisasi cha nini ndugu, kuweni na amani watanzania wanataka mabadiliko hilo tu basi! Au baada ya lowassa kuondoka ccm mtaanza kutuibia?
 
Back
Top Bottom