Mimibaba
JF-Expert Member
- Jul 1, 2009
- 4,557
- 1,295
Mwandishi: Je Zitto kama kiongozi wa chadema, ndo atakuwa anaivuruga NCCR kutumia rungu la chadema?
Mbowe: Mambo ya zitto na NCCR na kafulila ni ya kwao wenyewe sio ya chama
Kweli unawashwa

Katika hali ambayo haikutalajiwa na wengi mwandishi wa
Radio Arusha 94.8 FM alikuwa akimhoji mbowe dhidi ya yeye kukimbia POlice
mara mwandishi kaanza kuchomeka tuhuma dhidi ya mwanachama wake/ kiongozi mwenzake ZITTO
Mwandishi; Mheshimiwa leo katika magazeti ya leo mwanachama wako zitto anahusishwa na kuivuruga NCCR
je hili lina ukweli gani?
Mbowe: Sijapata taarifa hizo kwani mpka sasa magazeti yaliyoandika sijayapata
Mwandishi: Je Zitto kama kiongozi wa chadema, ndo atakuwa anaivuruga NCCR kutumia rungu la chadema?
Mbowe: Mambo ya zitto na NCCR na kafulila ni ya kwao wenyewe sio ya chama
Mwandishi: NA wewe hapo nyuma vyombo vya habri virikutuhumu kwa kumuhujumu mwanachama mwenzako zitto
je hili lina ukweli wowote?
Mbowe: Sijawai kuhujumu mwanachama yeyote, Sisi tunajenga chama
Source radio arusha 94.8 fm
Mytake: GOGORO KUBWA LINAKUJA CHADEMA AMBALO HALIJAWAI KUTOKEA
Fasafa za CHADEMA hazitaruhusu gogoro hilo unaloliombea ndugu yangu... Yes kuna huzuni na fadhaa kidogo ila kamwe hakuna hicho unachoombea, mtamaliza magamba yote mtoe na mifupa ndio mje kuona mnachodhamiria kiweKatika hali ambayo haikutalajiwa na wengi mwandishi wa
Radio Arusha 94.8 FM alikuwa akimhoji mbowe dhidi ya yeye kukimbia POlice
mara mwandishi kaanza kuchomeka tuhuma dhidi ya mwanachama wake/ kiongozi mwenzake ZITTO
Mwandishi; Mheshimiwa leo katika magazeti ya leo mwanachama wako zitto anahusishwa na kuivuruga NCCR
je hili lina ukweli gani?
Mbowe: Sijapata taarifa hizo kwani mpka sasa magazeti yaliyoandika sijayapata
Mwandishi: Je Zitto kama kiongozi wa chadema, ndo atakuwa anaivuruga NCCR kutumia rungu la chadema?
Mbowe: Mambo ya zitto na NCCR na kafulila ni ya kwao wenyewe sio ya chama
Mwandishi: NA wewe hapo nyuma vyombo vya habri virikutuhumu kwa kumuhujumu mwanachama mwenzako zitto
je hili lina ukweli wowote?
Mbowe: Sijawai kuhujumu mwanachama yeyote, Sisi tunajenga chama
Source radio arusha 94.8 fm
Mytake: GOGORO KUBWA LINAKUJA CHADEMA AMBALO HALIJAWAI KUTOKEA
ana IQ ya mende huyo achana naehapo umesikia zito analalamikia chama or magazeti?
Mwandishi: Je Zitto kama kiongozi wa chadema, ndo atakuwa anaivuruga NCCR kutumia rungu la chadema?
Mbowe: Mambo ya zitto na NCCR na kafulila ni ya kwao wenyewe sio ya chama
Mwandishi: Je Zitto kama kiongozi wa chadema, ndo atakuwa anaivuruga NCCR kutumia rungu la chadema?
Mbowe: Mambo ya zitto na NCCR na kafulila ni ya kwao wenyewe sio ya chama
Mwandishi: Je Zitto kama kiongozi wa chadema, ndo atakuwa anaivuruga NCCR kutumia rungu la chadema?
Mbowe: Mambo ya zitto na NCCR na kafulila ni ya kwao wenyewe sio ya chama
ahhaaaaaaaaaaaaa dah! umeua bendiWewe unayoiona ni migogoro ya Chadema tu, Migogoro ya ccm inayotarajiwa kukisamabatisha chama vipande vipande huoni? Una avatar nzuri lakini mawazo ya kijinga.
hapo kuna nini cha ajabu,
au mwataka ujiko kwa kupitia wengine.
Kweli unawashwa
nimesoma hadithi yako sikujua kama wewe mpumbavu ndo mwandishi duuuuu!sasa matusi yametoka wapi