Kutojisikia hamu ya kushiriki tendo la ndoa!!

Jul 17, 2011
6
0
Miongoni mwa matatizo yanayowakabili wanandoa,hasa kinamama ni kutojisikia hamu ya kushiriki tendo la ndoa na wenzi wao. Naombeni mnisaidie:-
1.nini kinaweza kuwa chanzo cha tatizo hilo?
2.nini tiba ya tatizo hilo?
 
aisee, najiskia kuchoka kabisa. in a nutshell, sidhani kama kuna medical explanation, rather social/ psychology. yale yaliyokuwa yanampa hamu mwanzoni (kupendwa, kuheshimiwa, kuthaminiwa) yanakuwa hayapo tena.
 
kuna wana ndoa hali hii iliwakuta, mke ndio alikuwa amepoteza hamu ya kujamiiana na mumewe, wkt huo alikuwa ameweka kipandikizi cha uzazi wa mpango, akashauriwa na wataalam atoe kwanza aone matokeo, ni kweli baada ya kutoa hamu ikarudi kama kawaida. ingawa si wote huwadhuru lkn pia yaweza kuwa ni sababu kwa wengine.
 
Back
Top Bottom