Kutogegeda kwa muda mrefu,nin madhara yake

Kutogegeda kwa muda mrefu,nin madhara yake

Punyeto siyo salama. Kuna athari nyingi za punyeto ikiwemo ya kuwa ------- endapo utaiendekeza kwa muda mrefu. Kumbuka kuwa naturally, mwili una control upunguzaji wa manii kwa njia ya ndoto. Fanya jaribio moja dogo tu la kuto ku sex kwa muda, say wiki tatu hivi, lazima utaota ndoto itakayopelekea ku-ejaculate, na hii ndiyo njia ya asili ya kupunguza tatizo hilo. Utaelezwa madhara zaidi ya punyeto ukihitaji.

Kizuri ni hiki, kwamba unachopinga ni kule kuendekeza punyeto; neno ambalo mimi pia nimelitumia awali, hata kama kwa mtindo tofauti. Hii ina maana kwamba matatizo ambayo yanaletwa na punyeto yanatokana na kuiendekeza. Ukila prones ama lobster za kutosha kwa chakula cha mchana halaf jioni pakawa na kitu kimechanganywa na cheese lazima utakuwa na msongo tu usiku. Kama upo kwenye semina hapo Kempinski utafanyaje? Utaenda Mtaa wa Ohio ukachukue mjasiriamali wa ngono? Au utasubiri zishuke zenye keshokutwa wakati unamuota Asha. Au utasubiri ukamlize mama toto wako next week? Nadhani hapo unadanganya watoto.

Dawa ni kubeba napkin, unaingia bafuni, unashusha mzigo, unalala! Kwisha habari yake. Hiyo ni bora, ni salama zaidi kuliko kuenda kinondoni, buguruni, au sinza mori kutafuta wajasiriamali wa ngono huko. Na sidhani kama unayo sababu ya kuendekeza punyeto kama una mke, au kama utakuwa naye. Na kizuri ni kwamba papuchi ina desturi ya kukamua mpaka basi. Unaweza ukae hadi wiki. Kwa hiyo punyeto ni salama kama REMEDY.

Unakosea sana unapotoa hukumu ya kijumla-jumla kusema eti punyeto siyo salama wakati imetumika karne na karne kupunguzia watu hamu. Wale wanaokataa ukweli huu ndio wanaobaka mabinti wa wanaume wenzao au kujikuta wanalazimika kulala na wajasiriamali wa ngono, au wakosa uvumilivu wenzao kwenye kambi ya pili ya binadamu na kuambukizana magonjwa huko. Punyeto ni salama kupunguza hamu ya ngono na kukwepa maambukizi. Nakubaliana nawe si kitu cha kukiendekeza, na hii ndiyo sababu ya ulazima wa kumpata mwenza mwenye papuchi akusaidie kuondoa hiyo misongo wa ngono.



 
Unakosea sana unapotoa hukumu ya kijumla-jumla kusema eti punyeto siyo salama wakati imetumika karne na karne kupunguzia watu hamu. Wale wanaokataa ukweli huu ndio wanaobaka mabinti wa wanaume wenzao au kujikuta wanalazimika kulala na wajasiriamali wa ngono, au wakosa uvumilivu wenzao kwenye kambi ya pili ya binadamu na kuambukizana magonjwa huko. Punyeto ni salama kupunguza hamu ya ngono na kukwepa maambukizi. Nakubaliana nawe si kitu cha kukiendekeza, na hii ndiyo sababu ya ulazima wa kumpata mwenza mwenye papuchi akusaidie kuondoa hiyo misongo wa ngono.[/QUOTE] I'm writing to here not for the sake of having a useless debate with anybody, but facts. this is to tell you that biologically, chronic masturbating can affect our brain and body chemistry because it can overproduce sex hormones andneurotransmitters. This overproduction impacts each person differently,and can range from fatigue, pelvic pain, vision changes, lower backpain, testicular pain, or hair loss. There is current research thatstates increased testosterone production is linked to DHT production,which is associated with male pattern hair loss. May you please discuss basing on biological facts and research, not bla bla. Be advised accordingly.

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom