Kutogegeda kwa muda mrefu,nin madhara yake

cosmasmpwage

Member
Joined
Feb 4, 2013
Posts
30
Reaction score
2
Habarini za kuamka wana JF,mateso ambyo nimeyapata ucku wa leo imenilazmu nilete uzi hapa kwa mawazo yenu,m ni kijana wa miaka......., nina promise na mdada ambaye yupo mbali kishule,mim huku nna hamu sana ya kugegeda lakn cna mchumba,inanilizmu nimsubr yeye,sasa naona mateso kwan bamia yangu huwa inasimama sana nyakat za ucku mpaka inatoa ute,je kuna madhara ya kukaa muda mrefu bila kupunguza haya mate?
 
hakuna madhara yoyote,we endelea kumngoja tu huyo mwenza wako.
 
Habarini za kuamka wana JF,mateso ambyo nimeyapata ucku wa leo imenilazmu nilete uzi hapa kwa mawazo yenu,m ni kijana wa miaka......., nina promise na mdada ambaye yupo mbali kishule,mim huku nna hamu sana ya kugegeda lakn cna mchumba,inanilizmu nimsubr yeye,sasa naona mateso kwan bamia yangu huwa inasimama sana nyakat za ucku mpaka inatoa ute,je kuna madhara ya kukaa muda mrefu bila kupunguza haya mate?

hakuna madhara makubwa kukaa muda mrefu bila kufanya ngono. ila kuna mateso kidogo ya mwili. ni kama kuwa jela; kufa haufi, ila kuna kuteseka fulani hivi. mungu aliumba hicho kifaa kitumike na kutumiwa. ikiwa vinginevyo panakuwa na mateso.

ushauri wangu ni huu: fanya mazoezi au kazi lukuki zinazoifanya akili iwaze hizo kazi zaidi na kukusahaulisha habari ya papuchi. mawazo ya papuchi yanaongezeka sana ukiwa na idle time nyingi--hasa usiku. karibu Dini zote duniani zinapinga uasherati. kwa hiyo hili ninalokueleza linalenga kukulea kukubali matazamio ya jamii ya watu kuhusu njia sahihi ya kitu cha kufanya na hicho kibamia chako.

usipende sana kula nuts na vyakula vyenye protein nyingi kwa sababu vyakula hivi vinajaza haraka sana huo utete unaokusumbua. Lakini kwa kuwa mwili umetengezwa kuzalisha huo utete hata kama utakula majani tu, uwe tayari kupiga hata punyeto kupunguza mateso yako ambayo mi najua yanavyokuwa, ili huyo unayempenda aje kufurahi. wasichana wana njia nyingi sana kujua mtoto wa kiume ambaye si malaya. njia moja ikiwa tabia yao ya kupeana taarifa kwenye saluni. Ukimpa asha leo, kesho--au usiku huohuo ashura atajua tu. wana desturi ya kujitapa; hasa kama una hela nyingi au sura nzuri. wanatangaza wenzao wajue yeye ndo kakupata. na akijua mmoja kesho kila saluni ndiyo stori. heheheee---jana mwenzio asha eti shosti umeskia? tedi kanambia eti walikuwa tip top orofani na dula. he-heheeee!

jifanyishe kazi nyingi kusahau papuchi; epuka sinema za ngono. kama unayo access ya sinema nyingi kwa computer au dvd, basi jitahidi kuangalia sinema za dini, stori za ujasiri wa kivita, upelelezi labda, dokumentari za sayansi na elimu nyinginezo utapata faida sana kama mara dufu kuliko kuangalia watu wananyonya mbollo na visimi. gharama za kuendekeza ngono ni kubwa kuliko faida. unaanza kujua baada ya kuanza kulipia matibabu ya gono, kaswende au hata hiv. unaambiwa siku hivi watu hawafi ukimwi lakini kujitunza ni gharama kubwa sana ukishaupata.

sijui umenielewa?
 
Madharae nayo yaona ni kucheka cheka bila kuchekeshwa.
 
Ukiendelea kuwa na imani hiyo hata huyo mpenzi wako hutadumu naye...
1. Utaanza kutafuta mtu wa kupooza bamia yako isikusumbue.
2. Kwa kuwa unaamini kutodinyana kunaleta mushkeli basi hutomuamini mpenzi wako ukidhani naye adinyana kupunguza mihemko.
 
Wataalam wa Biology wanasema kiungo cha mwili kisipotumika muda mrefu hudhoofika au hutoweka kabisa, sijui kuna ukweli..!!??
 
hakuna madhara makubwa kukaa muda mrefu bila kufanya ngono. ila kuna mateso kidogo ya mwili. ni kama kuwa jela; kufa haufi, ila kuna kuteseka fulani hivi. mungu aliumba hicho kifaa kitumike na kutumiwa. ikiwa vinginevyo panakuwa na mateso.

ushauri wangu ni huu: fanya mazoezi au kazi lukuki zinazoifanya akili iwaze hizo kazi zaidi na kukusahaulisha habari ya papuchi. mawazo ya papuchi yanaongezeka sana ukiwa na idle time nyingi--hasa usiku. karibu Dini zote duniani zinapinga uasherati. kwa hiyo hili ninalokueleza linalenga kukulea kukubali matazamio ya jamii ya watu kuhusu njia sahihi ya kitu cha kufanya na hicho kibamia chako.

usipende sana kula nuts na vyakula vyenye protein nyingi kwa sababu vyakula hivi vinajaza haraka sana huo utete unaokusumbua. Lakini kwa kuwa mwili umetengezwa kuzalisha huo utete hata kama utakula majani tu, uwe tayari kupiga hata punyeto kupunguza mateso yako ambayo mi najua yanavyokuwa, ili huyo unayempenda aje kufurahi. wasichana wana njia nyingi sana kujua mtoto wa kiume ambaye si malaya. njia moja ikiwa tabia yao ya kupeana taarifa kwenye saluni. Ukimpa asha leo, kesho--au usiku huohuo ashura atajua tu. wana desturi ya kujitapa; hasa kama una hela nyingi au sura nzuri. wanatangaza wenzao wajue yeye ndo kakupata. na akijua mmoja kesho kila saluni ndiyo stori. heheheee---jana mwenzio asha eti shosti umeskia? tedi kanambia eti walikuwa tip top orofani na dula. he-heheeee!

jifanyishe kazi nyingi kusahau papuchi; epuka sinema za ngono. kama unayo access ya sinema nyingi kwa computer au dvd, basi jitahidi kuangalia sinema za dini, stori za ujasiri wa kivita, upelelezi labda, dokumentari za sayansi na elimu nyinginezo utapata faida sana kama mara dufu kuliko kuangalia watu wananyonya mbollo na visimi. gharama za kuendekeza ngono ni kubwa kuliko faida. unaanza kujua baada ya kuanza kulipia matibabu ya gono, kaswende au hata hiv. unaambiwa siku hivi watu hawafi ukimwi lakini kujitunza ni gharama kubwa sana ukishaupata.

sijui umenielewa?

...kwenye punyeto ndo unampoteza kabisa bro......hakuna dini inayoruhusu pia,,,,,ajishughulishe na mambo zingine na mazoezi sana......
 
Madhara yake vile viwazungu vitazaliana ndani kwa ndani....kuna siku ukienda kukojoa vinatoka vinalia ng'aaaang'aaaa...kama leba...sijui utawakimbia wanao au utawabeba....
 
hakuna madhara makubwa kukaa muda mrefu bila kufanya ngono. ila kuna mateso kidogo ya mwili. ni kama kuwa jela; kufa haufi, ila kuna kuteseka fulani hivi. mungu aliumba hicho kifaa kitumike na kutumiwa. ikiwa vinginevyo panakuwa na mateso.

ushauri wangu ni huu: fanya mazoezi au kazi lukuki zinazoifanya akili iwaze hizo kazi zaidi na kukusahaulisha habari ya papuchi. mawazo ya papuchi yanaongezeka sana ukiwa na idle time nyingi--hasa usiku. karibu Dini zote duniani zinapinga uasherati. kwa hiyo hili ninalokueleza linalenga kukulea kukubali matazamio ya jamii ya watu kuhusu njia sahihi ya kitu cha kufanya na hicho kibamia chako.

usipende sana kula nuts na vyakula vyenye protein nyingi kwa sababu vyakula hivi vinajaza haraka sana huo utete unaokusumbua. Lakini kwa kuwa mwili umetengezwa kuzalisha huo utete hata kama utakula majani tu, uwe tayari kupiga hata punyeto kupunguza mateso yako ambayo mi najua yanavyokuwa, ili huyo unayempenda aje kufurahi. wasichana wana njia nyingi sana kujua mtoto wa kiume ambaye si malaya. njia moja ikiwa tabia yao ya kupeana taarifa kwenye saluni. Ukimpa asha leo, kesho--au usiku huohuo ashura atajua tu. wana desturi ya kujitapa; hasa kama una hela nyingi au sura nzuri. wanatangaza wenzao wajue yeye ndo kakupata. na akijua mmoja kesho kila saluni ndiyo stori. heheheee---jana mwenzio asha eti shosti umeskia? tedi kanambia eti walikuwa tip top orofani na dula. he-heheeee!

jifanyishe kazi nyingi kusahau papuchi; epuka sinema za ngono. kama unayo access ya sinema nyingi kwa computer au dvd, basi jitahidi kuangalia sinema za dini, stori za ujasiri wa kivita, upelelezi labda, dokumentari za sayansi na elimu nyinginezo utapata faida sana kama mara dufu kuliko kuangalia watu wananyonya mbollo na visimi. gharama za kuendekeza ngono ni kubwa kuliko faida. unaanza kujua baada ya kuanza kulipia matibabu ya gono, kaswende au hata hiv. unaambiwa siku hivi watu hawafi ukimwi lakini kujitunza ni gharama kubwa sana ukishaupata.

sijui umenielewa?

Hapo umenena Mkuu ila kwenye Punyeto - Mmh !!
 
Habarini za kuamka wana JF,mateso ambyo nimeyapata ucku wa leo imenilazmu nilete uzi hapa kwa mawazo yenu,m ni kijana wa miaka......., nina promise na mdada ambaye yupo mbali kishule,mim huku nna hamu sana ya kugegeda lakn cna mchumba,inanilizmu nimsubr yeye,sasa naona mateso kwan bamia yangu huwa inasimama sana nyakat za ucku mpaka inatoa ute,je kuna madhara ya kukaa muda mrefu bila kupunguza haya mate?

Hakuna madhara yoyote kwani manii huwa absorbed na mwili kama ikitokea zikizidi.
 
madhara yake ni kuwa kila demu ayepita mbele yako utamuona mzuri hadi kichaa utamtamani.
 
usipogegeda muda mrefu hormones zako zitabadilika utaanza kutamani kugegedwa na utaliwa jicho...kuwa muangalifu ndugu na pia kuna uwezekano na hicho kiungo kubadilika matumizi kitakuwa vestigial organ
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom